Lissu ana sifa zote mpaka za ziada, NEC watuletee wagombea wote mpaka rungwe, wananchi tutaamua kwenye sanduku LA kura.Lisu kapoteza sifa so NEC wanamsubiri kwa hamu wamkate bila hata pingamizi.
Chadema tuleteeni Dr Rosemary ........wanawake ni jeshi kubwa!
Anaweza kupata kura za aibu hiyo Jumanne.Nyalandu ni mpita njia anaelekea alikotoka
Hafai kuwa Kiongozi Mkuu wa Nchi
Naye ajaribu, jambo LA msingi haki itendeke.uwazi utawale.uongozi Wa chama usiegemee kokote, waachwe wajumbe waamue.Nyalandu ni mpita njia anaelekea alikotoka
Hafai kuwa Kiongozi Mkuu wa Nchi
Kama Ni takw LA wajumbe itakuwa vema ndo demokrasiaAnaweza kupata kura za aibu hiyo Jumanne.
Bila polis na wakurugenzi safari hii ccm kazi mnayoAsimame Nyalandu,Lissu au mgombea yoyote sisi tunasema kipigo kipo pale pale safari hatutaki wapinzani wapate hata Jimbo moja la uchaguzi.
Yaani tutawatembezea kipigo cha pakashume yaani turuhusu mapusi kwenda kunajisi Ikulu kweli ????hilo jambo haliwezekani hata kidogo
Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Sio rahisi kama unavyodhani.Nyalandu ndiye Mwenyekiti mpya ajaye wa CHADEMA?.
Labda kwa kuiba kura uchakachuaji lakini kwa sanduku la kura CCM haishindiAsimame Nyalandu,Lissu au mgombea yoyote sisi tunasema kipigo kipo pale pale safari hatutaki wapinzani wapate hata Jimbo moja la uchaguzi.
Yaani tutawatembezea kipigo cha pakashume yaani turuhusu mapusi kwenda kunajisi Ikulu kweli ????hilo jambo haliwezekani hata kidogo
Acheni demokrasia ifuate mkondo wakeMpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Kuna siku niliona hadi wale mijusi wenye vichwa vyekunduKwenye msafara wa mamba,hata kenge wamo!
MkuuIngelikuwa ninchi za Wenzetu
Mwenyekiti wa Kudumu Chadema Asingeweza Kuzuia wengine Kugombea kiti hicho na kuwa yeye miaka nenda Rudi
Watamuachiaje mtu ambaye kiafya sio timamu hawezi kuinama wala kupiga magoti, kiuno kipo upande, mguu na mkono wa upande mmoja hauwezi kunyooka na kutembea kama kinyonga. Kwa hao wenzetu wanaoachiana wagombea kwa hiari yao wenyewe wanafanyiwa medical examination kuangalia afya zao kama wanaweza kuhimili misuko suko ya hizo nafasi. Isitoshe hata kwenye kuajiriwa kazini shurti upasi medical examination. Nakuomba umshauri mgombea wako ajitoe kwani physically ni unfit au kwa kistaarabu wanasena physically handicap au vipi ndugu yangu.Mpaka muda huu, nashindwa kuwaelewa Nyalandu na wenzake kwani nyakati zinambeba Lissu kwa asilimia 100.
Kwa hali ilivyo, ingekuwa ni katika nchi za wenzetu,mfano US, mtu kama Nyalandu naamini angetangaza kujitoa na kumuunga mkono Lissu bila kusubiri kupigwa kura na wajumbe.
Anyway, wacha tusubiri lakini huku ni kushindwa tu kusoma alama za nyakati kwa kisingizio cha demokrasia, demokrasia ambayo haimpi nafasi yeye na wenzake.
Hata hivyo,hii itakuwa ni fursa ya Lissu kuonyesha kukubalika kwake ndani ya chama kulinganisha na wagombea wenzake.
Wacha tusubiri labda kuna wanaopanga kujitoa siku ya kupiga kura kupitisha mgombea na kumuunga mkono Lissu maana siasa ndio zilivyo.
Napendekeza wagombea wote wakahesabu kura wenyewe kama ilivyokuwa ccmAcheni demokrasia ifuate mkondo wake
Huna hoja Mkuu, kwani Jpm yuko fiti kiafya? Hujui tuWatamuachiaje m
Watamuachiaje mtu ambaye kiafya sio timamu hawezi kuinama wala kupiga magoti, kiuno kipo upande, mguu na mkono wa upande mmoja hauwezi kunyooka na kutembea kama kinyonga. Kwa hao wenzetu wanaoachiana wagombea kwa hiari yao wenyewe wanafanyiwa medical examination kuangalia afya zao kama wanaweza kuhimili misuko suko ya hizo nafasi. Isitoshe hata kwenye kuajiriwa kazini shurti upasi medical examination. Nakuomba umshauri mgombea wako ajitoe kwani physically ni unfit au kwa kistaarabu wanasena physically handicap au vipi ndugu yangu.
Kwanza mchakato wa ccm ulikuwa nje ya kanuni.Napendekeza wagombea wrote wakahesabu kura wenyewe kama ilivyokuwa ccm
Nani mgonjwa?Ajitoe mgonjwa kwani physically handicapped
NdioNyalandu ndiye Mwenyekiti mpya ajaye wa CHADEMA?.