Ingekuwa China Ngereja angekamatwa kwa kutakatisha fedha na angechezea kitanzi faster!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Mr Xiua raia wa China ananitafsiria sheria za kwao kuhusu ufisadi, rushwa, ujambazi na utakatishaji fedha. Anasema kitendo cha kuingiza hazina fedha isiyo ya serikali ni unajisi/ utakatishaji na kwamba mtu anayefanya kitendo hicho ' NIA' yake huchunguzwa kwa makini sana isije ikaiambukiza jamii. Tulipoongelea swala la Ngereja, Xiua amecheka na kusema William amelipa kodi TRA na si kwamba amerejesha fedha za Escrow. Xiua amedai kwani wakati Ngereja anagawiwa fedha na ' bilionea' Ruge, alielezwa source ya fedha hizo?! Na kama alielezwa kati ya Ngereja na Ruge nani alipaswa kuwa anaifahamu kwa weledi account ya Escrow? Na je kwanini hela isiyojulikana igeuzwe kuwa kodi, kama nia si kuitakasa na kwa kufanya vile Ngereja kwa hapa Tz amefanikiwa maana fedha zimepokelewa na serikali japo hatujui zimepokelewa kwa sheria ipi, lakini kule nyumbani China Ngereja angechezea kitanzi fullstop!!
 
Vita ya ufisadi na wabadhirifu inapobagua watu kwa misingi ya kabila au mitazamo ya kisiasa haiwezi kufanikiwa.
Kwani hawa mafisadi waliotiwa mbaroni tumeanza kuwasikia awamu ya 5?!!! Kama ukabila basi ulianza awamu ya 2.
 
Kauli ya kuchezea kitanzi faster ni kauli ya ushindi aisee, tuone masifa anaweza akaintroduce huku

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom