AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 641
una bahati sana leo niko na good mood mana...............cjui ningekujibuje hapa ..............ungesonyajeeeeeeeeeeeeeKuwa mwehu sio lazima uvue nguo hata huu ulioufanya hapa ni upumbavu tosha,ama kweli jf sasa imevamiwa mpk na machizi,mods piga ban huyu mwehu please!
duh.....Aminata mbona hivi....?
umeanza nitakuwashia mishumaa sasaivi na kinachofata ni hadi izime ndio mwisho loh! nishaomba msamaha ya nn kunikalia kooni mwana wa mwenzenu ivo loh!
sorry mnoooooooooooo nimeamkia pabaya leo kuna foto niliiapload hapo ila haikutoka nishaomba msamaha i will never let u down again guys
kama ulivoandika do something ulitakiwa ufikiri kwa upeo wako kua aminata hawezi kuafanya ivi so ...............kabla hujarukia tren kwa mbele mana utachunguliwa na dereva bure