cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,324
Wewe ndo hujui hyo experienceUlidanganywa au unajidanganya.

Ile ford ranger bado anayo, shule bado anatoa sio pw, ila bado anachukua T/UDOM ukimzingua 😅😅Msalimie sana Dr G MCHONDE, Ile Ford yake Bado anayo na Shule anawapa kweli au kapoa nowdays!!?
Mkuu wewe uelewa wako upo juu sana. Naunga mkono hoja zako zote, ukisoma hii kitu hapa chini na kuielewa hoja ya mleta mada inakuwa ngumu sana kuwa implemented.View attachment Handbook for Standards and Guidelines for University Education in Tanzania - 3rd Edition.pdfHII HOJA NI DHAIFU SANA,
Kwanza inapaswa tuelewe Chuo si shule za ukwanza na upili. Chuo hakisifiwa kwa kutoa GPA kubwa.
Chuo ni taasisi ya elimu inayotoa ujuzi wa juu au mafunzo maalum ya kitaaluma au ya ufundi.
Sifa kuu ya chuo ni kuwaanda vijana waendane na mahitaji ya soko la ajira.
MIT, Oxford au Havard hawasifiwi kwa GPA kubwa kwa kuzifananisha na vyuo vingine. Gentleman GPA ya MIT hauwezi kuifananisha na first class degree ya UDSM na Gentleman GPA ya UDSM hauwezi kuifananisha na first class ya Teofilo Kisanji.
Kila chuo huwa kinawaandaa wanafunzi wake waende kukiwakilisha kwenye soko la ajira, lengo la chuo sio ukalili wa common knowledge bali ni kumaster skills furani zinazo watofautisha wanafunzi wake na wanafunzi wa vyuo vingine.
Vyuo vingi huwa wanaweka kwenye Prospectus zao course structure na code, lakini hakuna kinachoweka specific modules na topic wanazofundisha kwa kuwa hizi modules ni sehemu ya mbinu za siri za mafanikio ya performance ya wanafunzi wao kwenye soko la ajira.
Hatuwezi kutumia mfumo unaotoa wahitimu watakao julikana kama matokeo ya mtaala furani wa nchi, mfano ana Bachelor ya Business Administration kutoka Tanzania, ni upumbavu sana.
Inapaswa kutambuliwa kwa vyuo walivyo toka kwa maana kila chuo kina viwango vyake vya udahili, namna wanavyopata wakufunzi na namna wanavyo wapima wanafunzi, mfano mtu aliyeweza kuwa enrolled kwenye chuo kama Havard ni dhahili kuwa yupo vizuri kwa viwango vya udahili wa Havard University mtu huyu hauwezi kupima ufaulu wake kwenye mtihani mmoja na mwanafunzi wa Oklahoma State University, kwanini hatuwezi kuwapima?
Havard University ina acceptance rate (AR) ya 5% tu, inamaana katika kila watu 100 wanao omba kujiunga na Havard watu 5 tu ndio hupata nafasi, wakati Oklahoma State University ina acceptance rate ya 70% yani kila watu 100 wanao omba basi 70 hupata nafasi.
AR inaonesha viwango vya uchaguzi wa wanafunzi wanaojiunga na chuo husika, maana AR ya chuo furani inapokuwa chini vilaza hawawezi kupata nafasi ya kujiunga na chuo hicho kwa kuwa ushindani wa kupata nafasi unakuwa mkubwa sana.
Vyuo vikubwa pia haviwezi kushare mitihani kwakuwa kila kimoja huwa kinawaandaa wahitimu wake kwa mbinu za hali ya juu ili waje kuwa bora kuliko wengine kwenye soko la ajira na sio kwenye chumba cha mtihani.
Swala la rushwa ya ngono litafutiwe njia nyingine ya kulidhibiti lakini hatuwezi kupima kilo moja ya dhahabu na kilo moja ya chuma kisha tuseme zina thamani sawa hapana. Kila chuo kiwaandae wanafunzi wake wawe dhahabu kwenye soko la ajira na sikuwafananisha na vyuma.
Watu watambulike kwa reputation ya vyuo vyao na si GPA walizonazo.
Kokote uliko agiza mke wa kuoa me nakutolea mahari, jibu la karne hiliHII HOJA NI DHAIFU SANA,