Ingekua vipi kama angekua salma kikwete????????????

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Leo nimemuona michelle obama akiwahutubia wanajeshi waliotoka Iraq kabka ya mumewe Bari kupanda stejini,papo hapo likanijia hilo swali wat if angekua salma kikwete ?ni sauti kiasi gani zingepazwa kwa kile ambacho kingeelezwa jk kuwa na ubia na mkewe kwenye urais?

Nadhani tunahitaji kubadili fikra na mitazamo yetu cuz behind every successful man there is a woman,we can't resist..

Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+ZBQpjc_MKB8l.jpg

Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+4XU2MHpCYRGl.jpg

Barack+Obama+President+Obama+Speaks+Troops+4tBrJO33746l.jpg
 
Kukubalika kwa Michell Obama na jamii yake hakutokani na kuwa kwake mke wa Obama tu, bali ni perspective ya Michell kama Michell kwa jamii ya waamerika. Mama Salma tayari keshaponzwa na unafiki wa serikali anayoiongoza mumewe, vipi asizomewe?
 
sio sababu mbona serikali ya obama pia imewaangusha sana waamerika kiuchumi hususan mambo ya ajira?

hoja yako haina mashiko.
 
Hazuiwi na wala si vibaya lakini je ni lipi au vipi atahutubia.

Awe innovative tu:smile-big:
 
Kama mmemaliza hii ya Obama na marekani, nisaidieni kujua kama naibu waziri asipoomba ruhusa kwa waziri kusafiri nje ya nchi anaweza kupata kibali au kuruhusiwa na nani?. Kuna mabishano juu ya naibu na mbunge wetu alivyoweza kusafiri pasipo kibali cha waziri bosi wake. Tumependa kujua juu ya hili na Kamati Kuu wameamua nini kwa aliyetoa kibali.
 
nenda kwenye thread husika,naona hapa umeingia choo cha stendi mzee
 
Huyo mama ana project zake na familia za wanajeshi wanaorudi nyumbani kutoka vitani, kama ilivyo WAMA vile LOL! ndio maana anazungumza hapo kabla ya muheshimiwa. Na sie mama yetu kama angekuwa active na mambo ya kijamii ingekuwa bomba tu, angekuwa kama Michelle vile.
 
Leo nimemuona michelle obama akiwahutubia wanajeshi waliotoka Iraq kabka ya mumewe Bari kupanda stejini,papo hapo likanijia hilo swali wat if angekua salma kikwete ?ni sauti kiasi gani zingepazwa kwa kile ambacho kingeelezwa jk kuwa na ubia na mkewe kwenye urais?

Nadhani tunahitaji kubadili fikra na mitazamo yetu cuz behind every successful man there is a woman,we can't resist..

wewe ndiye ubadili fikra zako....

sisi tunapiga kura kuchagua rais...hatupigi kura kuchagua mke wa rais.

na kwa taarifa yako hatuko pekee yetu katika hilo...Waingereza ni kama sisi; binafsi pamoja na kuangalia sana BBC na Sky lakini sijui mke wa David Cameron anaitwa nani?

Pia tunaweza kuchukua mfano wa waarabu, waajemi na waisrael...najua mfalme wa Oman anaitwa Qabus lakini sifahamu jina la mkewe, najua rais wa Iran ni Ahmadinejad, again sifahamu mkewe aitwa nani na pia namfahamu Premier wa Israel, Ben Netanyahu...again sijui jina la mkewe.

unajua nini KIM, tatizo la vijana kama wewe ni kudhani kila made in america ni kizuri kwa watu wote.....si kweli, haijawahi kuwa hivyo na believe me haitokuwa hivyo.
 
Wewe ni mzembe Samantha Cameroun ameonekana sana kwenye TV hasa wakati wa uchaguzi hata akiwa mjamzito!
 
Coz Salma kikwete alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi, unafikiri atawaambia nini akina Luteni Kanali, General, Meja, etc?
 
Wewe ni mzembe Samantha Cameroun ameonekana sana kwenye TV hasa wakati wa uchaguzi hata akiwa mjamzito!
Hawa vijana wa face book utawaweza mzee,mi niliamua kumpotezea tu kwa kuwa sikujua alikua anaongelea ki2 gani
 
Back
Top Bottom