Ingekua CHADEMA Inalinda Wezi Mapachu Asingerudi CCM

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kuna shida ya uelewa kwa vijana wengi wa chama chakavu. Suala la tuhuma za Ufisadi za Siyoi Sumary zinapigiwa "propaganda" kwa sababu Siyoi alihamia Chadema mwaka jana na pia amemuoa mtoto wa Mhe.Lowassa mgombea Urais wa Chadema na UKAWA 2015.

Wapo wanaosema hili ni doa kwa Chadema. Wengine wanafika mbali na kusema Chadema ni chaka la kuficha wezi.

Ngoja niwasaidie hawa akili ndogo kwa kuwapa hoja tatu nao wanijibu kwa hoja;

1. Unaposema kukamatwa kwa Siyoi ni doa kwa Chadema hoja yako ni nini? Yani Chadema inapataje doa?
Kwa sababu tu alihamia Chadema (kutoka CCM) au ni kwa sababu amemuoa mtoto wa Lowassa mgombea urais wa Chadema.?

Kama unadhani Siyoi kuwa tu mwanachama wa Chadema na kukamatwa na rushwa ndiko kunaifanya Chadema ichafuke tafadhali meza "dawa mseto" maana una malaria kali sana.

Wanachama wangapi wa CCM wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa na hamsemi? However Chadema haikumuajiri Siyoi Stanbic bank sasa inawezaje kuhusishwa ktk tuhuma hizo?

Siyoi amekamatwa akiwa ktk ajira yake Stanbik bank, in which Chadema haihusuki nayo. Naona bado hunielewi. Ngoja nikupe mfano. Ni hivi; kwa mfano wewe ni mwalimu wa shule ya msingi na ni mwanachama wa ACT. Siku moja ukakamatwa umeiba box la chaki. Hivi chama chako ACT kinahusikaje ktk wizi wako wa chaki? Kwahiyo ni upuuzi kuhusisha tuhuma za Siyoi na Chadema wakati Chadema haikua na mahusiano na ajira yake pale Stanbic.

Kwa hiyo sioni doa kwa Chadema. Na kama lipo basi litakua dogo sana kuliko la CCM. Siyoi amekulia CCM na amekuwa mfuasi wa chama hicho ktk maisha yake yote kabla ya kuhamia Chadema october mwaka jana. Kwahiyo Siyoi ana miezi 6 tu ndani ya CHADEMA lakini ana miaka zaidi ya 35 ndani ya CCM. Hivi kama ni kuchafuka nani anachafuka zaidi kati ya CCM na Chadema?

Ni ujinga wa kiwango cha PhD kuamini eti Chama alichohamia Siyoi kinaweza kuchafuka kuliko chama kilichomlea na kumfundisha ufisadi.

Kukamatwa kwa Siyoi si doa kwa Chadema na hakuwezi kuwa doa kwa Chadema hata kidogo. Ila ni doa kwa CCM. Tena doa hilo litakuwa kubwa zaidi ikiwa Siyoi atakutwa na hatia.

Siyoi Sumary ni mtoto wa marehemu Jeremia Sumary aliyekua mbunge wa CCM Arumeru Mashariki na waziri ktk serikali ya CCM. Mzee Sumary alikuwa pia kiongozi wa muda mrefu wa CCM.

Na alipofariki CCM wakamteua mwanae Siyoi agombee Ubunge Arumeru. Kwa hiyo Siyoi ni zao la CCM, aliyezaliwa CCM na baba aliyekua kingozi wa CCM, akakulia CCM na kulelewa CCM. Sasa Doa linakuaje kwa Chadema?

Ikumbukwe pia tuhuma za Siyoi ni za mwaka 2013 akiwa bado mwanachama wa CCM na alikua ametoka kwenye uchaguzi mwaka 2012 akiwa mgombea wa CCM Arumeru. So kama ni kuiba aliiba akiwa CCM, kama ni dili basi alicheza dili ndani ya CCM, na bila shaka ni kwa maslahi ya CCM.

2. Propaganda kuwa ni mkwe wa Lowassa nayo ni ya kijinga tu. Sasa akiwa mkwe wa Lowassa inahusianaje na tuhuma za wizi?? Mbona hamtaki kumhusisha Siyoi na baba yake mzee Sumary aliyekua Waziri wa CCM, mnakazana kumhusisha na Lowassa? "Ukwe" wake na Lowassa hauwezi kuzidi "unasaba" wake na baba yake mzee Jeremiah Sumary (wa CCM).!

3. Hoja kuwa Chadema inafuga majizi mi ya wanywa viroba wa Lumumba. Hivi kati ya Chadema na CCM nani anafuga majizi?? Chadema haina dola, haina jeshi, haina polisi, haina TAKUKURU, haina mahakama, haina magereza inawezaje kufuga wezi?

CCM ndicho chama kinachofuga majizi maana yanalindwa na polisi, takukuru na organ nyingine za serikali. Hata Balozi Mwapachu alikiri kuwa amerudi CCM ili biashara zake (za wizi) zisikwame.. ziendelee kulindwa.

Ingekuwa Chadema kinalinda wezi Mwapachu asingerudi CCM.

Salaam kwenu #Team_Mazwazwa.!

Malisa GJ.
 
Ndugu malisa Chadema ni nchi mpaka iwe na uwezo wa kulinda mafisadi?wewe usipoteze muda wako kuhangaika na ccm na wanaccm walioshindwa

"Masikini Mzee Kitilya" Hiyo ndio headline ya leo ya Tanzania daima wakionesha Masikitiko kwa "Mzee" kufikishwa Mahakamani.
 
Wanaofuga wezi mafisadi ni ccm
Escow
Epa
Meremeta
Deep green
Kagoda
Chenge
Sethi
Karamagi
Rostam
Rada
Ndege ya rais
Etc zote.ni miradi au watu wa ccm
Ccm na ufisadi sawa na samaki na maji
 
Wanaofuga wezi mafisadi ni ccm
Escow
Epa
Meremeta
Deep green
Kagoda
Chenge
Sethi
Karamagi
Rostam
Rada
Ndege ya rais
Etc zote.ni miradi au watu wa ccm
Ccm na ufisadi sawa na samaki na maji
Mbona humtaji mwizi mkuu wa Richmond?
 
Kuna shida ya uelewa kwa vijana wengi wa chama chakavu. Suala la tuhuma za Ufisadi za Siyoi Sumary zinapigiwa "propaganda" kwa sababu Siyoi alihamia Chadema mwaka jana na pia amemuoa mtoto wa Mhe.Lowassa mgombea Urais wa Chadema na UKAWA 2015.

Wapo wanaosema hili ni doa kwa Chadema. Wengine wanafika mbali na kusema Chadema ni chaka la kuficha wezi.

Ngoja niwasaidie hawa akili ndogo kwa kuwapa hoja tatu nao wanijibu kwa hoja;

1. Unaposema kukamatwa kwa Siyoi ni doa kwa Chadema hoja yako ni nini? Yani Chadema inapataje doa?
Kwa sababu tu alihamia Chadema (kutoka CCM) au ni kwa sababu amemuoa mtoto wa Lowassa mgombea urais wa Chadema.?

Kama unadhani Siyoi kuwa tu mwanachama wa Chadema na kukamatwa na rushwa ndiko kunaifanya Chadema ichafuke tafadhali meza "dawa mseto" maana una malaria kali sana.

Wanachama wangapi wa CCM wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa na hamsemi? However Chadema haikumuajiri Siyoi Stanbic bank sasa inawezaje kuhusishwa ktk tuhuma hizo?

Siyoi amekamatwa akiwa ktk ajira yake Stanbik bank, in which Chadema haihusuki nayo. Naona bado hunielewi. Ngoja nikupe mfano. Ni hivi; kwa mfano wewe ni mwalimu wa shule ya msingi na ni mwanachama wa ACT. Siku moja ukakamatwa umeiba box la chaki. Hivi chama chako ACT kinahusikaje ktk wizi wako wa chaki? Kwahiyo ni upuuzi kuhusisha tuhuma za Siyoi na Chadema wakati Chadema haikua na mahusiano na ajira yake pale Stanbic.

Kwa hiyo sioni doa kwa Chadema. Na kama lipo basi litakua dogo sana kuliko la CCM. Siyoi amekulia CCM na amekuwa mfuasi wa chama hicho ktk maisha yake yote kabla ya kuhamia Chadema october mwaka jana. Kwahiyo Siyoi ana miezi 6 tu ndani ya CHADEMA lakini ana miaka zaidi ya 35 ndani ya CCM. Hivi kama ni kuchafuka nani anachafuka zaidi kati ya CCM na Chadema?

Ni ujinga wa kiwango cha PhD kuamini eti Chama alichohamia Siyoi kinaweza kuchafuka kuliko chama kilichomlea na kumfundisha ufisadi.

Kukamatwa kwa Siyoi si doa kwa Chadema na hakuwezi kuwa doa kwa Chadema hata kidogo. Ila ni doa kwa CCM. Tena doa hilo litakuwa kubwa zaidi ikiwa Siyoi atakutwa na hatia.

Siyoi Sumary ni mtoto wa marehemu Jeremia Sumary aliyekua mbunge wa CCM Arumeru Mashariki na waziri ktk serikali ya CCM. Mzee Sumary alikuwa pia kiongozi wa muda mrefu wa CCM.

Na alipofariki CCM wakamteua mwanae Siyoi agombee Ubunge Arumeru. Kwa hiyo Siyoi ni zao la CCM, aliyezaliwa CCM na baba aliyekua kingozi wa CCM, akakulia CCM na kulelewa CCM. Sasa Doa linakuaje kwa Chadema?

Ikumbukwe pia tuhuma za Siyoi ni za mwaka 2013 akiwa bado mwanachama wa CCM na alikua ametoka kwenye uchaguzi mwaka 2012 akiwa mgombea wa CCM Arumeru. So kama ni kuiba aliiba akiwa CCM, kama ni dili basi alicheza dili ndani ya CCM, na bila shaka ni kwa maslahi ya CCM.

2. Propaganda kuwa ni mkwe wa Lowassa nayo ni ya kijinga tu. Sasa akiwa mkwe wa Lowassa inahusianaje na tuhuma za wizi?? Mbona hamtaki kumhusisha Siyoi na baba yake mzee Sumary aliyekua Waziri wa CCM, mnakazana kumhusisha na Lowassa? "Ukwe" wake na Lowassa hauwezi kuzidi "unasaba" wake na baba yake mzee Jeremiah Sumary (wa CCM).!

3. Hoja kuwa Chadema inafuga majizi mi ya wanywa viroba wa Lumumba. Hivi kati ya Chadema na CCM nani anafuga majizi?? Chadema haina dola, haina jeshi, haina polisi, haina TAKUKURU, haina mahakama, haina magereza inawezaje kufuga wezi?

CCM ndicho chama kinachofuga majizi maana yanalindwa na polisi, takukuru na organ nyingine za serikali. Hata Balozi Mwapachu alikiri kuwa amerudi CCM ili biashara zake (za wizi) zisikwame.. ziendelee kulindwa.

Ingekuwa Chadema kinalinda wezi Mwapachu asingerudi CCM.

Salaam kwenu #Team_Mazwazwa.!

Malisa GJ.
Mkuu hii stanbic vipi? Yule MD wake naye alihusishwa na CHADEMA! Mbona kuna mahusiano mengi kati ya Stanbic na CHADEMA?
 
Waliobeba pesa za Sethi(escrow)si walichukulia stanbic hapo hapo tuendelee tujue ni kinq naani
 
Back
Top Bottom