Ingawa ni wakati mgumu wa hisia kali za majonzi na simanzi, Wamama jitahidini kudhibiti maneno yenu mbele ya waombolezaji

Thanks bro. na ninakaribisha pia ukosoaji utakaosaidia katika kunijenga (Constructive Criticism)
huwa nikikuta mchango wako au Mada zako huwa nazipitia kwa umakini na kuziheshimu sana, kuikosoa Mada wakati hata kuanzisha hatuwezi ni kukosa fadhila kwani mkipotea na Jukwaa litazimika.
Bravoo Mkuu, ila ungefika Mbeya ukawaona wale ndugu zetu, ndio ungeamini wanajua kulia, mpaka wanaigiza na vitendo Bujibuji hapa mada itamtosha vilio vya nyanda za juu
 

Mwezi uliopita nilikuwa msibani,nilipatwa na hisia za majonzi baada ya kuona jeneza..nililia sana.
Nilivyogeuka pembeni nikamuona sister analia huku anachana mashairi hatari
Mi mwenzenu siliagi msiban mpaka najishangaa.Siwez hata kidogo.

Nakumbuka nimelia mara 2 tu.Ya kwanza mama alipofariki nikiwa darasa la pili.Na nililia baada ya kumuona baba analia so ikaniogopesha kuona mzee analia na mm ndio kulia sasa.bt i was a kid.

Mara ya pili ni 2014 baada ya kufiwa na mdogo angu.
ONLY DAT
 
Mi mwenzenu siliagi msiban mpaka najishangaa.Siwez hata kidogo.

Nakumbuka nimelia mara 2 tu.Ya kwanza mama alipofariki nikiwa darasa la pili.Na nililia baada ya kumuona baba analia so ikaniogopesha kuona mzee analia na mm ndio kulia sasa.bt i was a kid.

Mara ya pili ni 2014 baada ya kufiwa na mdogo angu.
ONLY DAT
Umewahi hudhuria misiba ya watu wa mbeya?
Inatia uchungu,hata ungekuwa mgumu vipi lazima uchungu ukukamate
 
Mama tunajitahidi sana "ukamponye mwafilombe ejooo" nilihudhuria msiba wa kichaga duh, nilishangaa watu wako busy hata hawalii, wafiwa ndiyo kidogo wanalia ,nikaimagine unyakyusani kwetu kungekua na vilio kuanzia majirani,wafiwa ndiyo usiseme
Wachaga ilikua zamani ila sa hivi hawalii tena sana,
Unakuta mama au baba kafiwa na mwanae mpo safarini jeneza hilo hapo mnafika mahali kula wanakula vizuri, wanakunywa na stori kama zote, lkn zamani mzazi anaeza asile siku 3 adi wazike ndio anapoa machungu.
 
Uwiiiiiiiii mwenzenu nimeumbukaaaaa... shemeji ulikuwa unanibembeleza nitabembelezwa na nani mieeeeeee uwiiiiiii Hata kaka yako asipolala nyumbani ulinituliza.... nimeumbuka mieeeeee uwiiiiiiiiii
Da huyu komesha wangemuacha kidogo na angeropoka kazaa na marehemu ambaye ni shemeji yake hivyo kwenye mirathi watoto wanaosemekana wakaka yake kumbe sio, wapewe na wao
 
Hahahaha sio show off mkuu wakati mwingine inatokea kabisa unakuta tunaanza kupata hisia fulani kwa kuona tu ile sehemu tunamkumbuka marehemu hapo ukikaribia na nyumbani kabisa sasa uone nyumba mazingira hasa labda mama yake au wanae kwa kweli huwa mimi binafsi nashindwa sana kujizuia na hii pia inawatokea wanawake wengi hatuko ngangari kama nyie mkuu
Kwa maelezo haya kweli nimeamini yaweza tokea hisia zikazidi.
 
Back
Top Bottom