Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,532
- 225,084
Mtu akija tu mnaanza upyaJamani kuna misiba mnakuwa tu busy na misosi na vinywaji. Jamani wanyaki tunajua kulia khaa, mnalia mnapumzika kidogo, akiingia tu mama fulani mnalianzisha tena, dakika mbili akiingia mwingine tenaaaa.
Hapa ndio nawakubali watu wa Mbeya.