Ingawa ni wakati mgumu wa hisia kali za majonzi na simanzi, Wamama jitahidini kudhibiti maneno yenu mbele ya waombolezaji

"Toka umenioa hakika Leo ndio najua unakokwenda mpenzi wangu" ndio wake zetu hawa, pambafu Sana.
Hii nayo kali mkuu. Ina maana siku zote mumewe alipokuwa hai akichelewa kurudi hajui yupo wapi? Mambo ya chumbani haya hayapaswi kusemwa hadharani.
 
Kweli,ikiwezekana wazibwe midomo wakiwa wanaelekea sipo,eti utasikia Vivian kwanini uliacha kutumia ARV's zako,sasa uliaji gani huu
Mkuu, kwanini suala la HIV watu wanashindwa kulizungumzia hadharani ilhali campaigns zinapigwa kila uchwao kuhusiana na watu kuwa transparent?
 
H.abari za wakati huu kaka na Dada zangu wote wa humu JamiiForums.

Ndugu zangu watanzania hususan akina mama na dada zangu;

Wataalam wa saikolojia wanakwambia kwamba binadamu mtu mzima huwa mkweli wa maneno yake anapokuwa katika hali kuu mbili. Kwanza akiwa amelewa pombe, Pili akiwa mwenye hasira.

Waingereza wana msemo wao unasema kwamba "Speak When You’re Angry and You’ll Make the Best Speech You’ll Ever Regret". Kwa kusema hivyo ninaomba kusisitiza kwa hawa ndugu zetu wa jinsia tofauti kwamba, kuna baadhi ya maneno/mambo huwa ni ya ndani saaaana kiasi kwamba sio ya kuzungumzwa mbele za wageni waliokuja kumuomboleza marehemu.

Kuna mambo yanapaswa kuzungumzwa na ndugu wa karibu katika kikao cha familia punde baada ya mazishi kwisha. Maneno makali huwaacha waombolezaji wakiwa bumbuwazi na kuzua minong'ono ya hapa na pale wakati misa ya marehem ubado inaendelea.

Kuna siku moja mwaka huu mwezi March 2020 nilipata kuhudhuria msiba nyumba moja ya jirani na hapa nilipopanga. Marehemu alikuwa ametokea katika familia moja ya kidosi alafu ndugu zake wamesoma elimu za juu sana mpaka ulaya isipokuwa yeye tu jamaa ninadhani aliishia tu kidato cha nne lakini alikuwa ni mfanyabiashara mdogo mdogo anayeishi maisha standard tu.

Huyu jamaa alikufa katika ajali ya lory huko Iringa inasemekana alienda kufunga mzigo wa milioni kadhaa kwa bahati mbaya fuso ikapinduka dereava alikufa pale pale ila yeye akafia hospitalini siku nne baadae. He sustained fatal injuries.

Sasa tukiwa katika maombolezo nyumbani kwake siku ya mazishi baada ya mwili kuwa umewekwa ndani sebuleni kama desturi yetu, sasa ukawa naletwa nje ambapo misa itaendeshwa na padre, kuna dada yake mkubwa mmoja akaanza kuangusha kilio pale pale wakati jeneza linakuja

"kwanini umetuacha wakati bado tunakuhitaji, kaka hukusoma sana ila wewe ndio ulikuwa na busara ukoo mzima, tulikuwa tunakutegemea wewe kaka, sasa umeondoka na huu ukoo utavunjika, nani atakuwa anawatumia tena wazazi pesa kijijini jamani kaka, ulikuwa na roho ya upendo sana kuliko hao wengine......." pamoja na maneno mengine meeeengi mpaka akina mama wengine waliokuwa wamemshikilia mikono huku na huku ndio sasa ikabidi wamnyamazishe.

Watanzania nao kama kawaida yao minong'ono ikaanza pale pale, "ina maana professor ********* licha ya umaarufu wake wote kumbe hana busara katika ukoo? Kumbe hata alikuwa hawatunzi wazazi wake kule kijijini"

Huyu Professor alikuwa ni kaka mkubwa wa marehemu na moja kati ya ndugu waliosoma sana katika tumbo la mama yao, na rafiki zake pia walikuwepo kutoka ofisini kwao huko (wafanyabiashara na mpaka Waziri yule wa mambo ya ***** pia alikuwepo) ikawa sasa ni aibu.

USHAURI KWA WAMAMA/WADADA: Jitahidini kudhibiti uzito wa maneno yenu mbele ya kadamnasi ya waombolezaji. Kuna baadhi ya mambo yanapaswa kujulikana kwa ndugu wa karibu tu baaas.

NDUGU YANGU USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu mi huwa ni nafutilia sana mada zsko,we ni mwandishi mzuri tu na mada zako zinafundisha sana,big up sana dogo,.

Kosa Dogo tu nakukumbusha rudia kunipa shikamoo kama zamani.
 
Asante kwa angalizo hilo naamini wamekusoma
 
BILA KUVAA BARAKOA UTAKUWA HAUJATIMIZA WAJIBU WAKO.
 
Back
Top Bottom