Ingawa ni wakati mgumu wa hisia kali za majonzi na simanzi, Wamama jitahidini kudhibiti maneno yenu mbele ya waombolezaji

Hapana mkuu napingana na wewe,hao binadamu ni muhimu sana wawepo duniani,ndio wanaobalance nature ktk ecology ya life
 
Kuna sauti moja ilikuwa inasambaa sana kwenye mitandao ilipotokea ajali ya Chang'ombe miezi ka miwili hivi imepita kama sio mmoja. Huyo dada alikwenda msibani Buza kumsindikiza shogaye aliyefiwa na mumewe kwenye ajali ile. Anasema yule dada alivyokuwa analia, kumlilia mumewe waombolezaji walibaki vinywa wazi.

Hayaandikiki wandugu
 
Kuna familia Hadi Leo imebaki na mgogoro kutokana na maneno aliyoyasema Yule Mama wakati alipofiwa na mtoto wake.

"Mbona Mungu Kakuchukua wewe mwanangu, ulikuwa mstaarabu kushinda wote, Bora angemchukua Fulani kataja jina la mtoto mwingine" Yule aliyetajwa Hadi Leo anabif na yule Mama.

Ule msiba ulimuathiri Sana yule Mama kisaikolojia ni zaidi ya miaka 6 lakini bado hayuko sawa.

Daaah...!
Nimejikuta naumia.
 
Kuna sauti moja ilikuwa inasambaa sana kwenye mitandao ilipotokea ajali ya Chang'ombe miezi ka miwili hivi imepita kama sio mmoja. Huyo dada alikwenda msibani Buza kumsindikiza shogaye aliyefiwa na mumewe kwenye ajali ile. Anasema yule dada alivyokuwa analia, kumlilia mumewe waombolezaji walibaki vinywa wazi.

Hayaandikiki wandugu

Basi wekamo hata hiyo sauti tuu tusikiemo. Mie nilipitwaa, tusimu twangu tulikiwa tumefungwa bandejii....

Nawomba nisikilizepo kidogoo, kisha ntakurudishia mweeeh..!!!
 
Bora huyo jaman, yule mama hapo Dar, alifiwa na mmewe ana km mwez sasa, alilia maneno mazitoo mazito hakujali km kuna watoto wala nini? Jaman jaman ile audio hadi leo nnayo.

Duuh wamama jaman....kalilia mgegedo halafu mgegedo "hasi"
 
Mkuu, unamuongelea yule yule mama ambaye mumewe alifariki katika ajali ya pale Chang'ombe?...
 
Basi wekamo hata hiyo sauti tuu tusikiemo. Mie nilipitwaa, tusimu twangu tulikiwa tumefungwa bandejii....

Nawomba nisikilizepo kidogoo, kisha ntakurudishia mweeeh..!!!
Sidhani kama Mods wataruhusu mtu kuweka humu audio clip inayobeba maudhui tata kama maneno yaliyojaa ukakasi
 
Bora huyo jaman, yule mama hapo Dar, alifiwa na mmewe ana km mwez sasa, alilia maneno mazitoo mazito hakujali km kuna watoto wala nini? Jaman jaman ile audio hadi leo nnayo.

Duuh wamama jaman....kalilia mgegedo halafu mgegedo "hasi"
Hakika alimuaibisha sana marehemu mumewe
 
Back
Top Bottom