Info needed Pleaseeee. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Info needed Pleaseeee.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Karucee, Mar 24, 2012.

 1. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,577
  Likes Received: 1,296
  Trophy Points: 280
  Naombeni kujuzwa. Kabila hili la Wadigo wa Tanga wana tabia zipi? Labda itanisaidia kumuelewa mpenzi wangu na kuunusuru uhusiano wetu. Manake mpaka hapa its complicated.
   
 2. c

  charndams JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 426
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo utachemsha, tabia ya wadigo sio tabia ya mpenzi wako. yeye ni tofauti kabisa. jichunguze kwanza wewe isiwe wewe ndo mwenye noma na sio yeye
   
 3. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 10,577
  Likes Received: 1,296
  Trophy Points: 280
  asante mkuu kwa muda wako na mchango wako. Ila mpaka nimefikia hapa, nimejaribu sana kupitizia alternative zingine zikiwemo kujichunguza kwanza. Naomba nijue ili niendelee na analysis ya uhusiano wangu.
   
 4. c

  charndams JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 426
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mpende zaidi, hakuna alternative. just keep on trying na itafikia mahali utaona mabadiliko.
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,015
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  kabila sio tatizo,kama mpenzi wako anakupenda atabadilika tu ila kama hana mapenzi na wewe hata umpigie kelele usiku na mchana hawezi kubadilika, love can make one change
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  duh, kabila halina shida, ongea na mpenzio vizuri.
   
 7. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kitu gani kimekufanya ufikiri tabia ndio chanzo cha kuweza elewa? Siku zote uko nae si tayari utakua ushamsoma.
   
 8. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,149
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni aibu dunia ya leo unapotumia kabila kumjua tabia za mtu husika.
  Siku zote naona watu wa hivi ni wenye upeo mdogo sana wa kufikiri na mara nyingi wao ndio watakuja kuwa vyanzo vya kuvunjika kwa mahusiano yao.
  Mwisho wa siku utasema..nilijua tu maana nilishaambiwa kabila lenu sio la kuoa kabisa.
  So low and barbaric thinking
  OTIS
   
 9. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,109
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa nini uulize habari za kabila la mwenziwako na si kueleza tatizo ili upatiwe majibu????????????????
   
Loading...