Influential Tanzanians UN. Mchango Wenu ni Nje Tu? Tujifunze ElBaradei na Irony Lady | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Influential Tanzanians UN. Mchango Wenu ni Nje Tu? Tujifunze ElBaradei na Irony Lady

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 7, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Egyptian Opposition Leader (Former UN Atomic Energy Commission)
  [​IMG]
  President of Liberia Ellen Johnson-SirLeaf "Iron Lady (Former UNAssistant-Secretary General)

  Ukisoma habari za mataifa mengine unaona jinsi gani wale waliopata elimu na kufanya kazi professional nyingi zenye influence kama UN na Mabenki makubwa duniani wanachangia sana nchini mwao. Nasikitika sana kuona hakuna Watanzania na Wale tunaowahamu kutoa michango yao Tanzania Wakati Mgumu kama huu wa Taifa letu. Sababu kubwa ya Watanzania Influential Duniani Kutotoa Ushahuri au Kuleta vyote Vizuri Walivyo Jifunza Kupitia Kazi Zao nini? Mfano mzuro ni Salim Ahmed, kafanya kazi ktk UN na amehusika ktk Nations nyingi to build Reconciliation Committees na Institutions Mataifa mengi. Kwanini siku zote anakaa kimya hata miaka yote hii "Akijua Katiba ya Tanzania ni undemocratic?" Labda kuna wanafahamu majibu tusaidiaeni...Inawezekana Vitisho kama vya David Hosea alivyovipata. Je, kipindi cha serikali ya muda kikija watajihusisha na nchi yao?
  [​IMG]
  Asha-Rose Migiro
  [​IMG]
  Salim Ahmed Salim
  WikiLeaks cables: Tanzania official investigating BAE 'fears for his life
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Umeelekea ukanda mzuri kimawazo mkuu...hofu yangu ni km unatambua siasa zetu za fitna na majungu...laiti Tido angalijua hatma yake angeanzisha hata mradi wa kufuga kuku ambao naamini kwa umaarufu aloupata BBC angefika mbali kuliko huku kutumika km ganda la mua ambalo utamu wake ukiisha halina thamani tena! Tanzania imejivunia sana Dr Salim akiwa UN ila akageuka mwarabu alivyotumia haki yake ya msingi kuomba ridhaa ya kuwatumikia wananchi! Ulimwengu as well pamoja na kuchaguliwa "kimakosa" kuwa mkuu wa wilaya alibadilika ghafla kuwa Mnyarwanda kwa ku challenge sana serikali...ni imani yangu kuwa kuna wazalendo wengi sana wanaopenda mabadiliko Tz ila kwa kua ni wasomaji wazuri wa alama za nyakati wameufyata!
   
 3. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  ndio maana ninahisi ukombozi wa inji hii uko mikononi mwa kizazi kipya fresh from school with less to loose kikiongozwa na elites wachache waliojitoa mhanga!
   
 4. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wale mliobaki nyumbani kimewashinda nini hadi wana-diplomasia waje kukusaidieni? Mbona viongozi walioko madarakani mmewachagu wenyewe tena kwa kura nyingi.
   
 5. E

  Elifasi Senior Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LABDA MTOA MADA ASEME ANATAKA WAFANYE AJE, MAANA HII NI MWENDELEZO WA KULAUMU WENGINE KWA MATATIZO TULIYONAYO, KUJITOA KWENYE LIST YA WANAOTAKIWA KULETA MABADILIKO, NA KUDHANI SULUHISHO LIKO MIKONONI KWA WENGINE NA SIO SISI.. KM ALIVO PM WAKO (WAKO MTOA TOPIC HII), PRESIDENT WAKO, NA HATA WEWE- pengine hata ukienda kuswali/kusali unamnung'unikia MOLA wako kwamba si wewe bali flani na flani ndo wamesababisha utende zambi!!! wake up, BE that change you want to see my friend!!!!
   
 6. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,461
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  Siasa za Tanzania zimejaa unafiki mtupu.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Prof Anna Tibaijuka?

  [​IMG]
   
 8. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tutafika tu
   
 9. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 267
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hivi Dr. Asha Rose Migiro yuko wapi?
  Ni kama amezimika ghafla, sijamsikia kwenye news siku nyingi sana.
   
 10. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 267
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ttafika lini? Wapi? Do we really have a direction of where we are going? Badala ya kuwa na direction, tumekuwa na mwelekeo ambao no "Celebrity driven" Akija mtikila watu tunamshangilia na kumbeba, akija Dr. Slaa naye hivyo hivyo, akija Mrema ndiyo tunapagawa. Tatizo letu ni kuwa tumekuwa na mwelekeo ambao uko kama ushabiki wa mpira. Inabidi tuwe na mwelekeo kama Tunisia na Misri. Ukiwauliza wanajua ni nini wanachokichukia na ni nini wanachokitaka. Tatizo la baadhi ya jamii ni kuwa wanachukia to mfumo fulani lakini hawana uhakika wa mfumo wanaoutaka. Ukiwauliza wanasema "Tunachotaka aondoke tu"
   
 11. d

  damn JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wakirudi hapa wanakuta maadui kila kona. Muulizeni Salim alionja tamu yake alipotaka urais
   
 12. b

  bob giza JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wee naona maboksi yamekuwa mazito eehhh!! ushauri wangu, beba maboksi ukichoka kajilalie...
   
Loading...