Infinix hot 8 not receiving calls but shows missed call

Unaweza kua ume-reject incoming call pasipo wewe kujua.

Nenda setting=> turn off hiyo kitu => reject outgoing and incoming calls.

Kama kwenye screen yako kuna assist touch gusa icho afu turn off iyo reject calls.
Ndio inaniletea dilogi tatu
Phone information, usage statistics & Wi-Fi information
 
Aiseee Assisted touch nimeina call reject ilikua active
Mara nyingi watoto wakishika simu wanapendaga sana kuchezea ako ka-assistive touch.

Ili usije ku-miss tena mawasiliano itabidi ukiondoe kabisa.(kisiwe accessible kwenye screen), maana kamekaa pabaya arafu kamebeba control muhimu za simu.

ukienda setting=>accessibility; utakutana na option iyo.
 
Ok Asante
Niangalizie na hili simu inataka loud tu
 
Ingia phone information kisha kwenye network type Jaribu kuseti lte/Umts Auto Prl
naomba msaada katika infinix hot 8lite katika kuedit picha au kucrop.. picha inapotea nakubaki giza tu tatizo litakua n nn
 
Jamani habari

Naomba kusaidiwa nin infinix hot 8, nikipigiwa haiiti, caller anaambiwa simu iko busy, Mimi nakuta missed call you.

Naombeni msaada.

Asanteni.
Uza bomu hilo.

I hate hizi trash so called Infinix na tecno and the likes.

Ili unishawishi ninunue simu kama hizo niletee simu kama hiyo ambayo ina Chinese Rom ndani.

Wachina wana akili sana hawatumii matakataka.

Kampuni ya samsung pamoja na kuwauzia uchina Samsung zenye Qualcom SD lakini bado samsung ana market share ya 0.6% tu kwenye nchi ya China.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom