Infinix hot 8 not receiving calls but shows missed call

Reclusive

Member
May 25, 2020
33
23
Jamani habari

Naomba kusaidiwa nin infinix hot 8, nikipigiwa haiiti, caller anaambiwa simu iko busy, Mimi nakuta missed call you.

Naombeni msaada.

Asanteni.
 
Hii bugs huwa ipo sana kwenye simu za tecno na infinix hakuna solution yake kiundani Bali huwa inatoka yenyewe.
 
Ila infinix zinasifa

Ukiwasha data utumie zaidi ya saa moja unaweza idumbukiza kwenye maji lita 10 ya baridi na yakapata moto mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna simu paleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Ndege ikipita juu inaandika missed callπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Infinix simu za ajabu sana. Ni nzuri ikiwa mpya ukishaitumia lazma ikuzingue, mi yangu ilikua haijipokei mtu akipiga mpaka simu inakata. Na ilikua haijikati aisee ile simu.

Fanya kuipiga bei utafute nyingine isijekufia.
 
Ukiwasha data utumie zaidi ya saa moja unaweza idumbukiza kwenye maji lita 10 ya baridi na yakapata moto mzee hamna simu pale


Ndege ikipita juu inaandika missed call
Infinix ipi unaongelea au unataka kufurahisha genge?
Nimetumia infinix 3 tofauti sijawahi kutana na kitu kama hiki
 
Mimi yangu nikiizima inawaka yenyewe....yaani ni kama nmeirestart...sijajua tatizo bado
 
Infinix ipi unaongelea au unataka kufurahisha genge?
Nimetumia infinix 3 tofauti sijawahi kutana na kitu kama hiki
Infinix, tecno, itel bdo znadosari unawez uskutane na dosar hyo ukaja kukutana na nyingne tofaut na hyo ukasem bora hiyo km ya jamaa apo muunda uzi
 
Menu hii inakubali kuingia?
Code:
 *#*#4636#*#*
Jamani habari

Naomba kusaidiwa nin infinix hot 8, nikipigiwa haiiti, caller anaambiwa simu iko busy, Mimi nakuta missed call you.

Naombeni msaada.

Asanteni.
Unaweza kua ume-reject incoming call pasipo wewe kujua.

Nenda setting=> turn off hiyo kitu => reject outgoing and incoming calls.

Kama kwenye screen yako kuna assist touch gusa icho afu turn off iyo reject calls.
 
Back
Top Bottom