Infidelity Investigation

Bodyguard

Member
Jul 2, 2012
27
2
Tunatoa hudumu kwa wale wanaohisi wapenzi wao si waaminifu na wanataka wapate uhakika juu ya hisia zao.

Huduma ni ya siri sana na Phase 1 inachukua wiki moja ambapo unapewa taarifa ya awali na kuonyeshwa vielelezo vyote vilivyopatikana.

NB: Masharti na vigezo vikali kuzingatiwa. Pia be aware the service is expensive.

PM for further details.
 
Thank God kwamba mi sijaanza kuhisi chochote kibaya, lol!
 
ungehisi ungeenda? halafu?

[MENTION]FP[/MENTION] ni vizuri kuujua ukweli, LAKINI saa nyingine kuujua ukweli kunaweza kukusababishia kufanya maamuzi magumu sana ambayo pengine usingeweza kuyafanya kama usingeujua ukweli na mwishowe maamuzi hayo kukugharimu au kukuharibia kabisa mustakabali wa maisha yako ya baadaye. Kuna mfano mmoja wa mama mmoja alijirusha ghorofani kujiua baada ya kuchunguza na kuambiwa kuwa mumewe anatembea na muathirika. Aliishia kupata kilema cha maisha na alipokwenda kupima yeye wala mumewe hawakuwa waathirika.

Acha niujue ukweli, lakini si kwenda kuutafuta mwenyewe kwa nguvu hivyo, kwa lugha rahisi hakuna sababu ya kuchokoza matatizo kama kila kitu kinaenda sawa.
 
FP ni vizuri kuujua ukweli, LAKINI saa nyingine kuujua ukweli kunaweza kukusababishia kufanya maamuzi magumu sana ambayo pengine usingeweza kuyafanya kama usingeujua ukweli na mwishowe maamuzi hayo kukugharimu au kukuharibia kabisa mustakabali wa maisha yako ya baadaye. Kuna mfano mmoja wa mama mmoja alijirusha ghorofani kujiua baada ya kuchunguza na kuambiwa kuwa mumewe anatembea na muathirika. Aliishia kupata kilema cha maisha na alipokwenda kupima yeye wala mumewe hawakuwa waathirika.

Acha niujue ukweli, lakini si kwenda kuutafuta mwenyewe kwa nguvu hivyo, kwa lugha rahisi hakuna sababu ya kuchokoza matatizo kama kila kitu kinaenda sawa.

Well written!

Not recommended lakini kama unaona hakuna jinsi karibu. Moja ya masharti magumu ni kuwa hatuko hapa kuvunja mahusiano bali kujenga. So you must agree kuwa ukiujua ukweli, you are in for reconciliation and not separation.
 
Ngoja aendelee kucheat tu, yaani ndo kwaanza namfeel ile mbaya, sasa nikijua anacheat i may die kabla ya siku zangu.
 
kwa dozi ninayompa siamini kama atakuwa anahamu ya kucheat!...wale mnaoamini kuwa wenzi wenu hamuwafikishi kunako na mnahisi kuwa mnagongewa afadhali nendeni kwenye hii kitu...itawaondolea hisia....
 
Swali zuli sana hili. Awe specific atatumia means gani.

Ya nini kumwaga mchele hadharani. Umeshaambiwa PM for further details. Umeshaambiwa utapewa taarifa vielelezo vyote vilivyopatikana. Sasa shida ni evidence au siri za kazi?
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Ila pia ukimchunguza sana kuku huwezi kumla. Tumeona mengi. Na hakika umdhaniye siye ndiye. The choice is yours. Sisi tunafanya kazi. Period.
 
Tatizo la waswahili ni ethics za kazi. Hawakawii kukusaidia kufumania kweli, halafu kwesho uko kwa shigongo. Kuna ndugu yangu anatumiaga vijana wa pikipiki, na kila siku anamfumania mkewe na kumtimua. Haipiti mwezi wanarudiana, naona ndo style ya maisha yao.
 
kwa dozi ninayompa siamini kama atakuwa anahamu ya kucheat!...wale mnaoamini kuwa wenzi wenu hamuwafikishi kunako na mnahisi kuwa mnagongewa afadhali nendeni kwenye hii kitu...itawaondolea hisia....

Ishu ni kumpa kick za nguvu mamsapu hadi anasanda mwenyewe!!hawezi kukucheat!!

Mwanamke anaridhishwa na vitu vingi sana mbali na "KICK".

Wewe piga kick za nguvu lakini kama huna sikio la kumsikiliza basi jamaa wenye kipawa cha kumsikiliza watakula.

Hii dunia bila mwanamke sio tamu hata kidogo...mimi nadhani ukimpenda (kwa dhati) what and not taking her for granted, hayo mengine incl. "bicycle kicks" mtayafanya automatikale......:whoo:
 
Back
Top Bottom