Industrial dry cleaners | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Industrial dry cleaners

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Game Theory, Jan 2, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Je biashara ya industrial dry cleaners inaweza kulipa Tanzania?

  hapa nazungumzia unachukua industrial area una maji ya kumwaga, umeme tosha...kisha unaanza na order za mahoteli yote Dar na ofisi za serikali

  hailipi italipa?

  Mtaji dola laki 5
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,973
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Inalipa. Kwa Dar au Arusha.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Inaweza ikalipa ila uwe na vyanzo vingine mbadala vya maji na umeme. Unaweza ukapata ugumu pia kwa wateja unaowalenga, mfano mahoteli mengi yana hizo mashine za kufulia na wengi hutoa huduma hiyo hadi kwa wateja wao.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Najua mahoteli mengi yanayo hizi mashine lakini hawana maji ya kutosha na gharama za umeme nazo ni kubwa mno

  Ukweli ni kuwa Dar kuna mahoteli na apartments za kumwaga na hawa wote wanataka nguo zao zifuliwe ontime na kurejeshwa ontime

  sisi tunainvest kwenye vitu 5

  Site kubwa

  Machine madhubuti

  Maji ya kutosha

  Umeme wa uhakika

  Quality na Time ya delievery

  sasa naaamini hata wizara za serikali na mashirika binafsi watatuletea

  Lakini so far hakuna kilichoa amuliwa bado tunaangalia angalia kama kutakuwa na wepesi na uwezekano huo
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kila la heri katika implementation ya b'ness idea yako.
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  mkuu, good idea, lakini naona ukiwa-target watu wa kwenye apartments inaweza ikalipa zaidi as apartments za dar hazina hii huduma.
  Kwa hotel inabidi uwe na maji na umeme wa uhakika na cheap, ili hotels waone wanaliwa na ku-operate machines zao.
   
Loading...