Inductor (jifunze electronics).

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
843
1,000
ATTACH]
ATTACH]

images (2).jpeg

Inductor ni kifaa cha umeme ambacho kinahusisha mikunjo ya waya ambayo inajaribu kutumia faida iliyopo ya uhusiano uliyopo kati ya sumaku na umeme


Hii hutokana na matokeo yanayosababishwa kupita kwa current kupita katika waya hiyo iliyokunjwa.

Inductor,kwa Jina lingine inaitwa choke, ambapo hii Ni inductor inayotumia faida yakutengeneza usumaku katika coil iliyo katika bati zake kutokana na kutiririka kwa current katika mkunjo huo wa waya.

images.jpeg

Kuzungusha waya katika bati husababisha kuzalishwa kwa usumaku mkubwa zaidi wakati current inapita katika waya huo kuliko usumaku ambao unatengenezwa kwa waya uliokunjwa bila kuzungushwa katika bati.Kiasi cha current, kinachopita katika inductor kinazalisha nguvu ya sumaku ambayo ipo sambamba nayo,

Pia inductor kutokana na kutengeneza nguvu hii ya usumaku,huenda kinyume,na mabadiliko ya kiasi cha current,kinachopita ndani yake,kutokana na nguvu yake binafsi inayo jitengeneza kutokana na sumaku.

Kwa maneno mengine,inductor,inaenda kinyume na mabadiliko ya current kinachopita ndani yake,huu uwezo wa inductor kuzuia mabadiliko ya current,kutokana na kiasi chake cha nguvu ya sumaku kinaitwa INDUCTANCE.

Inductance hua na alama ya L ambayo hupimwa kwa kipimo Cha Henry, (H).

Pakua app ya MEIS kujifunza zaidi,theory na practical electronics.

MEIS
http://sketchware.io/download.jsp?id=GwXB


ATTACH]


Screenshot_20200925-160102.jpg
PA
 

Attachments

 • Screenshot_20200925-160102.jpg
  File size
  110.4 KB
  Views
  0
 • images.jpg
  File size
  40.2 KB
  Views
  0
 • images%20(3).jpg
  File size
  5.4 KB
  Views
  0
 • images%20(2).jpg
  File size
  6.9 KB
  Views
  0

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom