Indigenisation (of Foreign-Owned Firms) Law Enacted

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Zimbabwe forces foreign firms to give up majority stake

A new Zimbabwean law that forces foreign-owned companies to sell a majority stake in their businesses to indigenous people has come into effect.
Overseas-owned firms worth more than $500,000 (£332,000) will have five years to sell a 51% stake, upon the threat of jail sentences.

Source: http://news.bbc.co.uk/2/hi/business/8542966.stm

What is Tanzania waiting for - IPO from Barrick?
 
Hivi hawa Zimbabweans wanataka jobs & taxes kwa nchi yao au ni sifa tuu kwa raia wako kumiliki makampuni? hii sheria ni mbaya na haitawasaidia chochote zaidi ya kufukuza investors...waende tanga wakaangalie mashamba ya mikonge na maviwanda,nyumba za msajili Tanzania baada ya Azimio la arusha..wanajikomoa tuu washamba hawa!
 
Huu sio utaifishaji. Ni uzawa-nishaji. Hivi ndivyo wanavyofanya wenzetu, wananchi au nchi inakuwa na hisa kubwa zaidi, yaani kuanzisha 51% na kuendelea na wageni wanakuwa na hisa zisizozidi 49%. Sisi tunagawa kila kitu, hata zile hisa chache za Mgodi wa Almasi Mwadui tulizokuwa tumezibakisha nazo tushazigawa kama pipi!
 
Back
Top Bottom