Indian toilets

Tatizo ni kwamba, ukikisema vibaya hiki, kuna watu wanasema kwamba vyoo vya kukaa haviko natural katika kusababisha mtu ajisafishe mpaka mwisho, kwa mana kwamba, choo cha kuchuchumaa, kinasaidia mtu kujikunja vizuri na kumaliza haja vizuri zaidi kuliko cha kukaa.

Na hapo hapo umeibua suala la wazee wanaoweza kuwa na matatizo ya kuchuchumaa.

Sasa hapo kinatakiwa choo kinachofanya anatomy ikae kama umechuchumaa, wakati umekaa, kitakuwa nina address mambo ya angle ya kusaidia kujisafisha vizuri kama choo cha kuchuchumaa, halafu kinatoa support kwa wanaohitaji support kama wazee.

Choo cha aina hiyo sijawahi kukiona bado. Mtu atakayeweza kukitengeneza anaweza kutengeneza a hit toilet.

Especially kama ataweza kutengeneza na mikono ya kushikia mbele ili mtu uweze kunya halafu unajisikia kama unaendesha pikipiki moja babu kubwa!!!

Yani unamaliza haja zako halafu umeshika handles una engage fantasies zako, kama unataka kurusha ndege unarusha, kama unataka kuendesha pikipiki unaendesha, kama unataka kutumia handles kuweka kitabu usome unasoma.

Hicho hata mimi nitakitafuta.
Kawaida vyoo vya wazee na vilema vinawekwa mabomba ya kushikia ili wawe na balance support wakiinuka. Wazee wengi wakiwa na huduma kama hizi wanaweza kuishi bila kutegemea msaada wa ziada kutoka kwa mtu.
 
View attachment 846246


Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.

Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.

Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
Dah........mnatuchanganya mjue,,,,,,:cool::cool:
Why Indian toilet is best - Scientific Reason - Guruprasad's Portal
 
Wazee wa zamani waliishije, maana nimesikia wazee wazee watashindwa kutumia vya kawaida
 
Back
Top Bottom