Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,156
- 2,573
Ila mkuu wa sasa km unachipua kwa kasi vile wewe unaonaje.?!
Ukirudi miaka ya nyuma mfano tu 15-20 nyuma, kumekuwepo na nchi mbalimbali ambazo zilikuwa zikitofautiana na Marekani katika maswala mbalimbali na zingine ni nchi za kawaida tu.
Kinachotokea hivi sasa wala si jambo la kushangaza kwamba ni kwanini na wala hilo hali-justify kwamba upinzani kwa Marekani unazidi kuota mizizi. Kama ni upinzani basi upo tu tokea zamani.