India yaimeza rasmi Kashmir, ni wakati muafaka kuimeza Zanzibar?

We ni mpuuzi na mwenye chuki dhidi ya wazanzibar zanzibar ni nchi huru kama ilivyo danganyika yetu
Kamwe wazanzibar hawatokubali hilo litokee
Nilifahamu haujaiona post
Ila binafsi nataka tuwe inchi moja au kila inchi iamue kivyake sipendi Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwani upande mmoja unanufaika zaidi
 
Waislamu wa Kashmir, Pakistan hawatakaa kimya lazima wajibu.
Na watajibu kwa maafa ,leo asubuhi kuna jeneral mstaafu wa India kawaambia kitendo walichokifanya ni sawa na kumuingiza adui ndani ya kambi yako
 
Wadosi wameshiba
Ss wanataka watoane ngeu
Mtifuano unakuja kati pakistan na india
 
Kwa alichokifanya India ajiandae tu kwa hatua 'kali' zitakazochukuliwa dhidi yake kutoka kwa Pakistani.

Si maneno yangu, wenyewe wanasema;

Pakistan has vowed to exercise "all possible options" to counter India's "illegal" and "unilateral" step.

NB: "All possible options".

Sisi wengine tuendelee kuwa watazamaji.
 
... tunafanana na India kwa baadhi ya mambo; kwanza wote tulikuwa koloni la mwingereza; pili wote ni members wa Commonwealth, tatu katiba na sheria zetu zinafanana kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba kwa mfano, Mahakama Kuu ya Tanzania sometimes hutumia maamuzi ya Mahakama Kuu ya India pale inapokuwa katika mtanziko wa maamuzi fulani. Nne, Bunge la Tanzania na Bunge la India yana utamaduni unaofanana katika kuendesha mambo yake.

Kutokana na hayo, sioni ubaya wa Tanzania "kufuata nyayo" za India kwa suala la Zanzibar sawasawa na suala la Kashmir kwani kwa zaidi ya 99% yanafanana. Kwa mfano, angalia kipengele hicho hapo chini ambacho kimo kwenye Katiba ya India; kina tofauti gani na yanayolalamikiwa kila siku hapa kwetu? Kwa %100 ni yale yale!

"Under the provision, Indians outside the state were blocked from permanently settling, buying land, holding local government jobs and securing education scholarships."
OKAY MKUU...MAONI YAKO YANAHESHIMIWA
 
Kashmir kwa muda mrefu sana imekua kwenye migogoro ya hapa na pale na serikali kuu ya India... watu wametaabika na kuumizwa sana...

Finally wapumue sasa...

Kwa Zanzibar inawezakana ila tutapata tabu sana...



Cc: mahondaw
 
Usiifananishe danganyika na Zanzibar hata kidogo aliyekudanganya kuwa danganyika ilikufa ni nan?
Tanganyika ilikufa ila Zanzibar ipo kama tunataka muungano tuwe na tanganyika yetu na tuwe na Serikali ya muungano vinginevyo muungano ufe tuwe taifa moja au kila mtu abebe mzigo wake
 
Article 370 ya Katiba ya India iliipa Jammu and Kashmir hadhi fulani ya kujitawala (autonomy) kama ilivyo Zanzibar kwa Tanzania. Ili kumaliza chokochoko za kila mara huko Kashmir, imetoka Presidential Order ya kulimeza rasmi hilo jimbo na, kwa maana hiyo, kuanzia sasa, Jammu and Kashmir halina choice tena na badala yake litakuwa na hadhi sawa na majimbo/mikoa mingine ya India. Je, si wakati muafaka sasa Tanzania ikafanya kama ilivyofanya India ili kuondoa sintofahamu za mara kwa mara? Pascal Mayalla

============

The Indian government on Monday issued a presidential order to scrap the constitutionally mandated special status of Kashmir, the country's only Muslim-majority region.

Here are five things to know about the unprecedented move:

- What is Article 370? -

Article 370 gave Jammu and Kashmir state a special position in India's union. The provision gave Kashmir's assembly the power to vet national laws passed by New Delhi.

It also gave the state a separate constitution and a flag.

Under the provision, Indians outside the state were blocked from permanently settling, buying land, holding local government jobs and securing education scholarships.

Under the changed status, the region will now be governed by the laws applicable to other Indian citizens.

- Why now? -

The Hindu nationalist government of Prime Minister Narendra Modi enjoys a sizeable majority in parliament after dominating the polls in the April-May elections.

Modi's right-wing Bharatiya Janata Party (BJP) can now push through parliament its key policy goals. This includes the BJP's long-held promise to scrap Article 370, which it argues is necessary to integrate Kashmir with the rest of the country.

Critics say the BJP's latest move is a part of its agenda to please core supporters and win more votes by stoking Hindu nationalist fervour.

The move is in line with its muscular approach towards Kashmir and Pakistan, which also claims the former Himalayan kingdom.

- Significance -

The special status, which has been in place since May 14, 1954, has helped Kashmiri Muslims and other communities preserve their strong sense of culture.

The ditching of the status has highlighted long-running fears that the local way of life and customs could be lost amid migration from other parts of the country.

Analysts say the Indian government wants to change the region's demographics by allowing non-Kashmiris, mostly Hindus, to buy land and settle there permanently.

It is also likely to worsen the simmering and bloody rebellion in Kashmir, where an insurgency over the past three decades has left more than 70,000 dead, mainly civilians.

Source: https://news.yahoo.com/five-things-know-indian-kashmirs-changed-status-115534895.html
Utekelezaji bado kuanza , hivyo ngoja tuone wakashmir watajibu vip mapigo , halafu kuhusu Zanzibar ilo jambo sahau , wazanzibar katu usiwafananishe na watu walioonga nchi yao(wadanganyika)
 
Utekelezaji bado kuanza , hivyo ngoja tuone wakashmir watajibu vip mapigo , halafu kuhusu Zanzibar ilo jambo sahau , wazanzibar katu usiwafananishe na watu walioonga nchi yao(wadanganyika)
Zanzibar ni koloni letu.....
 
Nilikuwa nasikiliza BBC watu wa Kashmir wanalalamika.

Mitandao yao ya simu imezimwa, hawana hata mawasiliano.

Wanalalamika wanauliza hii ni integration au occupation?
 
Yaani huyu jamaa ana ubongo wa mende, Alafu ukiangalia mada zake nyingi ni za chuki hana mada ata moja ya maana, ukiona kuna mtu kamuunga mkono ujue anampa moyo tu asijione mpweke ila wenzake wanajua kuwa hichi ni kimeo , na wanajua kuwa mada zake ni takataka, wanampa like ili asijione mpweke
Huyu jamaa tayari hapo ameshaingiza udini kwani hujui hilo chifu hii mada ameianzisha lengo lake ni "Uislamu na c chochote" anatamani leo kabla ya kesho zanzibar imezwe ndio roho yake itapoa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom