India yafungia mitandao ya kijamii kwa muda wa mwezi mmoja

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali nchini India yaizuia mitandao ya Twitter, Facebook na WhatsApp katika jimbo la Kashmir kwa muda wa mwezi 1 ili kurejesha hali ya usalama.

Hii ni kutokana na vurugu zilizozuka baada ya watu 8 kuuwawa na polisi ktk maandamano yaliyotokea wakati wa uchaguzi mdogo wa jimbo la Kashmir.

Kufuatia sekeseke hilo, inadaiwa wapinzani wa serikali walitumia fursa hiyo kusambaza kwa wingi picha kali zinazoonyesha wahanga na watu walioumizwa vibaya kwenye vurugu hizo, hivyo kuchochea vurugu zaidi.

Mitandao mingine iliyozuiliwa pia ni pamoja na Youtube, Skype, Snapchat, LinkedIn n.k.

-----------

Authorities in Indian-administered Kashmir have announced a one-month ban on 22 social media services, including Facebook, Twitter and WhatsApp.

The state government said the services were being misused by "anti-government elements" to incite violence.

Graphic videos claiming to show abuses on both sides have been shared extensively.

At least nine people have died in widespread violent clashes with the security forces in the disputed region.

Other social media services, communications tools and websites to have been banned under the order include YouTube, Skype, Telegram, Snapchat and Reddit.

The state government order said "objectionable contents" were being distributed to "spread disaffection" with the authorities.

Confrontations in Indian-administered Kashmir have become frequent since the killing of popular militant leader Burhan Wani by security forces last July.

There have been repeated clashes between students and plice.

The latest bout of violence began on 9 April when eight people were killed and scores injured after police clashed with protesters during a by-election in the city of Srinagar.

Since then, hundreds of students have protested on the streets, chanting anti-India slogans and throwing stones at the security forces.

Graphic videos claiming to show abuses on both sides have been shared extensively on social media and have added fuel to the conflict.

In recent weeks, schools have been set on fire and police say three politicians have been killed by unknown gunmen.

Muslim-majority Kashmir is at the centre of a decades-old territorial dispute between India and Pakistan.

India accuses Pakistan of supporting separatist sentiment in Kashmir, but Islamabad denies this. Both countries claim Kashmir in its entirety and control different parts of it.

Chanzo: BBC
 
Kumbe ni kashmiri pekee OK. Maana wahindi hawana dogo ingekuwa India yote maandamano yasingeisha...
 
Nimekuja mbio mbio Nikidhani wamefungia na JF yetu, kumbe wamewafungia hao wengine ila where we dare to speak openly wameacha maana wana JF wa huko India , Kashmir in particular wangekuwa kwenye kizungumkuti sana.

Hongera JF kwa kukwepa kutupwa korokoroni huko India.
 
Wakifunga mlango huu tutatokea huu,
Ili mradi tu wasizuie kuflow kwa data,
Wakifunga tunatengeneza new social media
Server yake kwa sayari ya mars.
 
Wakifunga mlango huu tutatokea huu,
Ili mradi tu wasizuie kuflow kwa data,
Wakifunga tunatengeneza new social media
Server yake kwa sayari ya mars.
Hata wafanyaje tutawarapua tu... Ndo maaana kuna missiles na ant missiles. Wakituma kombora sie tunadungua tu.
 
Back
Top Bottom