India Yafanya Mashambulizi Ya Anga Nchini Pakistan

Pakistan claims IAF's Wing Commander Abhinandan Varthaman in its custody, releases video

Pakistan has released a video claiming that it is of an Indian pilot named Abhinandan.

India Today Web DeskNew DelhiFebruary 27, 2019UPDATED: February 27, 2019 14:22 IST
Maj_Gen_Asif_Ghafoor_1.jpeg


Maj General Asif Ghafoor, spokesperson of Pakistan armed forces.
HIGHLIGHTS
  • Pakistan claims two Indian pilots in its custody
  • Releases video of a man in blindfolds saying he is Wing Commander Abhinandan
  • Indian Air Force yet to issue any statement on this

Pakistan has claimed that it has shot down two aircraft of the Indian Air Force and captured two pilots. Pakistan has released a video claiming that it is of an Indian pilot named Abhinandan.
In the video shared by Pakistan, a person wearing a flight suit is heard saying that he is Wing Commander Abhinandan. He is blindfolded and gives out his service number. He then asks if he is in the custody of the Pakistan military, saying he has the right to know this. Later, he refuses to answer further questions.

The video was relased after a press conference held by spokesperson of the Pakistan armed forces Major General Asif Ghafoor.
No confirmation has beenn issued by the Indian Air Force on this so far.
In the press conference, Maj Gen Ghafoor said Pakistan had no option than to give a reply to the airstrikes by the Indian Air Force in Balakote on Tuesday (February 26).

Major General Asif Ghafoor claimed that Pakistan Air Force shot down two Indian Air Force planes today morning. He said one of the planes fell in Pakistani territory while the other fell in the Indian side.
He said the intentions behind the attacks carried out by the Pakistan Air Force was "not to escalate tensions" but to tell "India that we have the capability" to retaliate.

"Pakistan armed forces have the capability and resolve to defend its interest. But we are a responsible nation and want peace. This morning we decided that we will not attack any military targets. We decided that no human life should be endangered in our strikes," Ghafoor said.

Pakistan said it selected six targets for today's strike. Ghafoor said: "We decided that we will not attack any military targets. We decided that no human life should be endangered in the strikes. We did not want to give the impression that we are an irresponsible nation. The intention was to tell we can retaliate, but we won't go to war at the cost of the region's peace."
Pakistan said it does not wish to escalate tensions with India and is not interested in going to a war. "Our action was an act of self-defence," Pakistan said.
 
Damn! Pakistan wame release video ya Indian pilot amekamatwa baada ya ndege kudunguliwa na Pakistan air force.
 
Kwani hao India si waje wamkodishe captain mstaafu wa jw Robert mbona aise
Damn! Pakistan wame release video ya Indian pilot amekamatwa baada ya ndege kudunguliwa na Pakistan air force.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Pakistan wana maspy wengi saana ndani ya vyombo vya ulinzi wa India pia Pakistan anapewa kizito na saudia na China pia raia wa Pakistan huwa wanaona ni sawa kabisa kwa jeshi lao kuwazingua India na kivyovyote vile wakiingia vitani lazima India achezee kisago cha mbwa koko

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Pakistan wamemlia trick india,kwanza ndege za pakistan alfajiri zilivuka mpaka na kuingia kushambulia sehemu za india kisha kuhepa kwa style ya gusa unate,
ndege za india zikawafuata mbiombio,kumbe waliitiwa pumba matokeo yake ndo hivyo ndege 2 down.

Lakini pia kuna transport helcopter ya india imeanguka kashimir,sababu za kiufundi,

india tayari imeshakubali kupoteza ndege zake 2,
nadhani sasa kila mtu atapiga break na kuanza kufikiri madhara ya vita na kama waendelee au wasiendelee...
 
Shiva ameshawachoka kwanza yeye mwenyewe hawezi kujisaidia

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Basi bado hawaja fanya ibada yao ya kunywa mkojo wa ng'ombe. Tuvute subira..

Ila Wapakistani bhana! Wanawambia wahindi wanywa mikojo ya ng'ombe.
 
Naanza kuamini kuwa vita sio bajeti wala wingi wa vifaru aise hawa Pakistani huwa wanawaonea saana ndio kwenye battle zote wanazokutanaga
Basi bado hawaja fanya ibada yao ya kunywa mkojo wa ng'ombe. Tuvute subira..

Ila Wapakistani bhana! Wanawambia wahindi wanywa mikojo ya ng'ombe.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
India ikovery equiped na vifaa na ndege, teknoloji ya kisasa wanasatelite angani lakini hawana ubagu wa kupigana na Pakistani kutokana na jeshi lake kuwa legelege.
Hii ni hatari! Huko Sialkot mpakani mwa Pakistan na India hali mbaya huko. Mapigano yameshika hatamu maa 7 yaliyopita sijui sasa hivi hali ipoje.

Nimeona clip ya majibu ya mashambulizi waliyofanya Pakistan kwa India ni hatari. Bado sijapata ya India walichojibu kwa Pakistan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
India Kupitia Wizara Ya Mambo Ya Nje Wametoa Taarifa Hivi Punde Kuwa Wametungua Ndege Moja (F-16) Ya Pakistan Wakati Pakistan Air Force Ilipojaribu Kuzishambulia Military Assets Zake Ikiwa Ni Njia Ya Kutaka Kujibu Mashambulizi Yaliokwisha Kufanywa Na India, Kwa Mujibu Wa Msemaji Wa Wizara Ya Mambo Ya Nje Ya India.

Pia Msemaji Huyo Amesema Katika Mpambano Huo Wamepoteza Ndege Yao Moja MIG 21 Bison Na Rubani Mmoja Bado Hajaonekana Ambaye Inasemekana Ndio Huyo Ambaye Pakistan Wamemnasa. Tuendelee Kusubiri Taarifa Zaidi!
 
HIVI PUNDE: Waziri Mkuu Wa Pakistan, Imran Khan Ametoa Wito Wa "Kukaa Na Kuumaliza" Mgogoro Kati Ya Nchi Yake Na India!

 
JAMAA UMECHAPIA AMA!!!! US NA CHINA HAZIJAWAHI KUSAPOTI NCHI MOJA ABADANI HASALINAPOKUJA SUALA LA VITA. INDIA INA UHUSIANO WA KARIBU SANA NA ISRAEL AMBAYO INAUKARIBU NA US. FANYA UTAFITI UJE UPYA
Kwenye Soviet-Afghanistan war 1979 China, Pakistan na USA walikua pamoja wakiwapa support mujahidin na India alikua upande wa Soviet
 
Hali imekuwa ndivyo sivyo kwa india,no wonder iran walikuwa bado wanaotea kuona response ya pakistan dhidi ya shambulizi la india la juzi,jibu ni kuwa pakistan wako tayari kwenda vitani mda wowote iwapo watashambuliwa,means iran itabidi ama wabadili approach,au waende all the way in,wakishirikiana na india kumdisplin pakistan,au waamue kupotezea na mambo yaishie hapo
 
ELINT News
@ELINTNews
Two separate videos of two Indian pilots
said to be arrested by Pakistani army after
being shot down surfaced. No evidence so
far to corroborate India’s claim of it
downing a Pakistani plane. If India has lost
two planes & had airstrikes on its territory,
there may be a response
3:09 am - 27 Feb 2019
 
Back
Top Bottom