India: Wananchi wa West Bengal wapiga kura licha ya hali mbaya ya Corona

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wananchi katika Jimbo la West Bengal wanapiga kura katika awamu ya mwisho wa Uchaguzi licha ya ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona.

Kumekuwa na hofu Jimbo hilo litakuwa kitovu kipya cha mlipuko kutokana na Kampeni zenye mikusanyiko mikubwa kufanyika. Visa vipya zaidi ya 17,000 vimerekodiwa West Bengal katika saa 24 zilizopita.

India imerekodi zaidi ya visa Milioni 18 vya COVID19 baada ya maambukizi mapya 379,257 kurekodiwa. Vifo vimefikia 204,832.

=====

People in the Indian state of West Bengal are voting in the final phase of elections despite rising Covid cases.

Long queues were seen outside polling booths, raising concerns about the further spread of the virus as a deadly second wave sweeps the country.

Experts already fear that West Bengal could be the next epicentre of the virus, as campaigning has continued there with large crowds.

It recorded more than 17,000 cases in the last 24 hours - a new high.

The state has already seen seven phases of voting. The eastern state is one of the few where Prime Minister Narendra Modi does not have a majority of seats.

There has been a lot of criticism that he continued to hold large rallies there even as the virus began overwhelming the country.

The BBC's correspondent in the area, Amitabha Bhattasali, says some of the biggest rallies, including those attended by Mr Modi, saw throngs of people not wearing masks or maintaining social distancing.

Source: BBC
 
Yaani uchaguzi ni muhimu zaidi kuliko afya ya wananchi. Watu wakifa viongozi watawaongoza nani?
 
Hii corona inatatiza sana yani sisi huku tunaotizama habari za corona huko India kwenye mitandao tunaona ni hatari ila wao wenyewe kawaida tu wanafanya hadi uchaguzi, nilichojifunza wakati kusoma hizi habari za corona mitandaoni hupati picha halisi hata sisi bongo wengine wanavyosoma habari za corona huku Tz ni tofauti na tunachokiona wenyewe.
 
Back
Top Bottom