India successfully test fires Quick Reaction Surface-to-Air Missile

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
India successfully test fires Quick Reaction Surface-to-Air Missile

1565020797447.png

DRDO successfully flight tested QRSAM air defence system at Balasore flight test range. (Photo: ANI)

India
on Sunday successfully test-fired a Quick Reaction Surface-to-Air Missile (QRSAM) with 30-kilometre range from a test range off the Odisha coast. The missile successfully engaged its target during the flight test and met all the desired parameters.

The missile was successfully flight tested against live aerial targets on August 4, 2019, from ITR, Chandipur. Two missiles have been tested against two live targets meeting complete mission objectives of engaging the targets.

Developed by the Defence Research and Development Organisation (DRDO), the missile has a strike range of 25 km to 30 km. It uses solid-fuel propellant and has the capability of engaging multiple targets.

The systems have been tested in final configuration with RADAR mounted on a vehicle and missiles on the launcher.

The missiles with many states of the art technologies have engaged the targets at different ranges and altitudes. The systems are equipped with indigenously developed phased array radar, Inertial Navigation System, Data Link and RF seeker.

The system is being developed for the Indian Army with search and track on move capability with very short reaction time. The entire mission was captured by various Electro-Optical Tracking Systems, Radar Systems and Telemetry Systems at ITR Chandipur.

1565020851595.png

The sophisticated all-weather missile was test-fired from launch pad-3 of the Integrated Test Range (ITR) at Chandipur at around 11.05 a.m., said sources.

The missile is equipped with electronic countermeasures against jamming by aircraft radars, sources added.

Source: India Today
 
India bhana eti leo ndio wapo kwenye tukombora twa 30 kilometre dah
Mwanzo mzuri hata mchicha ulianza kama mbuyu
Pitieni pia na hapa;
 
India wanajitahidi sana nadhani wana wasiwasi na uwezo wa kijeshi na kiuchumi wa China unaozidi kuongezeka ambaye pia ana uhusiano mzuri na hasimu wake mkubwa Pakistan.
 
Usisahau kuwa wana Nuke pia
pitia hapa https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_states_with_nuclear_weapons
India wako vizuri sana kwenye nyanja ya ulinzi
Hizo Nuke zao ambazo zinaenda kilometre 10 atampiga nan sasa

Alafu mwaka 2014 kuna taarifa zilivuja kuwa asilimia kubwa ya majeneral wa India ni majasusi wa Pakistan pia wa Pakistan wengi wameshikilia sekta nyeti India na hiyo ndio sababu India hizi siku anafanyiwa hujuma saana na Pakistan
 
hizo zipo kote mkuu
Juzi tumesiskia Iraq akisema kakamata majususi 20 wa US
Unakumbuka juzi tu hapa Marekani aliwahi fukuza diplomats karibu 40 wa Russia
Hata bongo, unakumbuka issue ya wanyarwanda ndani ya TZ
kwahiyo kupelelezana ni sehemu ya maisha ya usalama
 
Lakini intelligence ya Pakistan imevuka zaidi kwa kuipeleleza India
hizo zipo kote mkuu
Juzi tumesiskia Iraq akisema kakamata majususi 20 wa US
Unakumbuka juzi tu hapa Marekani aliwahi fukuza diplomats karibu 40 wa Russia
Hata bongo, unakumbuka issue ya wanyarwanda ndani ya TZ
kwahiyo kupelelezana ni sehemu ya maisha ya usalama
 
Tupe shule kiongozi
Hayo ni makombora ya kujibu mashambulizi haraka Sana baada ya radar za hayo makombora kudetect kuwa Kuna makombora/ ndege za adui zinaleta mashambulizi ya anga!
Mara nyingi makombora haya hutumia hypersonic detecting waves zenye high frequencies.
 
Back
Top Bottom