India: Polisi wawachapa watu wanaotembea nje wakati huu wa Corona

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
423
451
Ili kupambana na usambaaji wa Virusi vya Corona Serikali ya India ilizuia watu kutoka nje.

Kwenye video hii polisi wanaonekana kuchapa watu waliowakuta wakitembeatembea nje na kuwapa adhabu mbalimbali kwa kukosa utii

Source: abcworldnewstonight

 
Hali mbovu, ukitoka nje unapokea kichapo mchana kweupe, iwe wewe maskini au tajiri, kaa ndani aidha ufie humo au ujipange....

 
Back
Top Bottom