India national under 21 days lockdown corona virus, Wagonjwa kwenda India itakuaje?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
India yasalimu amri kwenye gonjwa la corona, kirusi kinasambaa kwa kasi

WHO wameongea Leo kuwa sasa kirusi kinasambaa kwa kasi isiyotegemewa
Waziri mkuu wa India Narenda Modi anahutubia Taifa muda huu, India zaidi ya watu bilioni moja wanawekwa under lockdown kwa siku ishirini na moja

Amesisitiza familia maskini zitasaidiwa na makundi ya kijamii
 
Second phase ya corona.. India ni mojawapo ya nchi zitakazoathitika pengine hata kuzidi Italy
India yasalimu amri kwenye gonjwa la corona, kirusi kinasambaa kwa kasi

WHO wameongea Leo kuwa sasa kirusi kinasambaa kwa kasi isiyotegemewa
Waziri mkuu wa India Narenda Modi anahutubia Taifa muda huu, India zaidi ya watu bilioni moja wanawekwa under lockdown kwa siku ishirini na moja

Amesisitiza familia maskini zitasaidiwa na makundi ya kijamii

Jr
 
Back
Top Bottom