INDIA: Madaktari watenganisha mapacha wawili walioungana vichwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
_7268a466-b9ae-11e7-83cc-689513d74e1b.jpg
twins aiims.jpg


Madaktari nchini India wamefanikiwa kuwatenganisha mapacha wawili Jaga na Kalia walioungana vichwa waliokuwa na umri wa miakamiwili na nusu
Operesheni hiyo ilifanywa na jopo la madaktari 30 kwa muda wa wa saa 16

Mapacha hao walizaliwa wakiwa wanashirikiana mishipa ya damu na tishu kwenye ubongo, hali inayojitokeza kwa nadra sana na asilimia 50 ya watoto wanaozliwa na hali hiyo hufariki baada ya saa 24

Madaktari wanasema changamoto kubwa kwenye operesheni hiyo ilikuwa ni kufunika sehemu kubwa ya ubongo wao iliyoachwa wazi baada ya upasuaji kwa ngozi kwa ngozi.

Mapacha hao pia wana matatizo mengine ya kiafya, Jaga ana matatizo ya moyo na Kalia ana matatizo ya figo.

Jaga alikuwa na hali nzuri mwanzoni ila hali yake imekua mbaya, Kalia ana unafuu

Kma mapacha hao wakibaki hai, hatua inayofuata itakua kujenga mafuvu yao ya kichwa

==================================================,
Surgeons in the Indian capital, Delhi, have separated twin boys who were conjoined at the tops of their heads.

Two-year-old Jaga and Kalia underwent 16 hours of surgery, and are now in the intensive care unit, doctors said.

A team of 30 doctors carried out the surgery - the first of its kind in India - at a state-run hospital.

The boys were born with shared blood vessels and brain tissues, a very rare condition that occurs once in about three million births.

The director of the All India Institute of Medical Sciences, Randeep Guleria, told the Press Trust of India that the "next 18 days would be extremely critical to ascertain the success of the surgery".

The twins, hailing from a village in eastern Orissa state, were joined at the head - a condition known as craniopagus.

Even before the operation they had defeated the odds; craniopagus occurs in one in three million births, and 50% of those affected die within 24 hours, doctors say

"Both the children have other health issues as well. While Jaga has heart issues, Kalia has kidney problems," neurosurgeon A K Mahapatra said.

"Though initially Jaga was healthier, now his condition has deteriorated. Kalia is better," he added.

Doctors said the most challenging job after the separation was to "provide a skin cover on both sides of the brain for the children as the surgery had left large holes on their heads".

"If the twins make it, the next step will be reconstructing their skulls," plastic surgeon Maneesh Singhal said.

The first surgery was performed on 28 August when the doctors created a bypass to separate the shared veins that return blood to the heart from the brain.


Source: BBC
 
India wako vizuri sana.
Na huku tunapoelekea China atapata competition ya kutosha maana jamaa medical and IT wapo juu na bado wanakuja na mwendokasi wa mwanga.
Kuna haja ya kujifunza mengi sana kutoka kwao, given the situation kuwa wapo wengi sana hapa nchini na pia sekta ya madawa na biashara kwa kiasi kikubwa wanazitawala
 
kwanini wale wanafunzi wa makete wasipelekwe huko, maana nadhani case yao sio complicated kama hii
 
India wako vizuri sana.
Na huku tunapoelekea China atapata competition ya kutosha maana jamaa medical and IT wapo juu na bado wanakuja na mwendokasi wa mwanga.
Kuna haja ya kujifunza mengi sana kutoka kwao, given the situation kuwa wapo wengi sana hapa nchini na pia sekta ya madawa na biashara kwa kiasi kikubwa wanazitawala
Wameruhusu ELIMU hawe mkombozi wao
 
Habari za Hivi Punde Zinaeleza Kuwa Madakrari Nchini India Wamefanikiwa Kufanya Opresheni Ya Kuwatenganisha Watoto Mapacha Wawili Waliozaliwa Wakiwa Wameungana Vichwa.
Watoto Hao Wa Kiume Jaga Na Kalia Walizaliwa Miaka Miwili Iliyopita Wakiwa Wameungana Vichwani. Operesheni Hiyo Iliyofanyika Mji Mku Wa Nchi Hiyo Ilichukua Masaa 16 Na Ilihusisha Jumla Ya Madaktari 30.
Kwa Sasa Mapacha Hao Wamehamishiwa ICU Na Madaktari Wamesema Katika Muda Wa Siku 18 Kuanzia Leo Ndiyo Wataweza Fanya Tathmini Ya Kujua Mafanikio Ya Operesheni Hiyo.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom