India: Kijana apoteza maisha akijaribu helikopta aliyounda

Apumzike kwa amani, nakosa la kusema.. Kwangu naona ni shujaa,kafa kaatika harakati za kutimiza ndoto zake
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. Kwa iyo tusishangae sana ni jambo la kawaida ni forces of nature. Kilichobakia kwetu sisi tulio hai ni kubugia tu viporo vya kande bila hofu na wasiwasi ili vitupe nguvu ya kufanya kazi na kulipa kodi maisha yaendelee Nasi tukisubiri tutaondokaje jinsi tulivyopangiwa pindi tu tulipozaliwa.
 
Duh!
 
Mtu hupangiwi utakufaje,, unapangiwa wakati(muda) wako, kifo kinategemea kimekukuta wapi..

Mfano umepangiwa kufa mwaka 2050, tarehe 12 January, saa 3:17
Basi wakat huo utakapofika ndio utakufa, sasa inaategemea mauti yaatakukuta vipi, unamgegeda mtu, upo nyumba ya ibada, upo kitandani, upo beach unaogelea, upo tu sebuleni unaangalia tv na familia, upo bar unagida kinyaji.. Popote pale.

Dogo wakati wake umemkuta katika ajali ya helikopta yake, lau kama muda wake ungekuwwa bado, angeweza kupona ktk ajali hiyo.

Hivyo ndivyo nijuavyo mimi chief.
 
Poleni wana familia, RIP marehemu. Amefanikisha ndoto zake na serikali iendeleze pale alipofika. Kiwanda kiitwe jina lake.
Kutengeza ''helkopta'' yenye uwezo wa kupaa, tena ikiwa na mtu siyo big deal kivile. Kwa teknolojia ya sasa wapo watu wengi sana wenye uwezo huo. Tatizo kubwa liko kwenye usalama wake. Je, ikisharuka itaweza kuhimili misukosuko ya angani?
 
Kafa akipigania ndoto yake ambayo kama angefanikiwa lingefanikiwa taifa, atatokea wakuitimiza.,
 
Back
Top Bottom