India: Kijana apoteza maisha akijaribu helikopta aliyounda

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,521
2,000
Bongo vijana wa umri wake wapo bize kuwasubir wachezaj wa yanga wanaotokea kongo wawauzie VUMBI LA KONGO

Ili wafie vifuani mwa wanawake wao

Pole Sana mbunifu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Akili ya mbongo imeishia kwa wanawake tu ila baadhi wanajitambua 😁😁😁 mbongo wapi atafikiria kutengeneza ata helicopter za watoto 😁😁😁
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,166
2,000
Apumzike kwa amani, nakosa la kusema.. Kwangu naona ni shujaa,kafa kaatika harakati za kutimiza ndoto zake
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa. Kwa iyo tusishangae sana ni jambo la kawaida ni forces of nature. Kilichobakia kwetu sisi tulio hai ni kubugia tu viporo vya kande bila hofu na wasiwasi ili vitupe nguvu ya kufanya kazi na kulipa kodi maisha yaendelee Nasi tukisubiri tutaondokaje jinsi tulivyopangiwa pindi tu tulipozaliwa.
 
Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,122

Duh!
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,239

Mtu hupangiwi utakufaje,, unapangiwa wakati(muda) wako, kifo kinategemea kimekukuta wapi..

Mfano umepangiwa kufa mwaka 2050, tarehe 12 January, saa 3:17
Basi wakat huo utakapofika ndio utakufa, sasa inaategemea mauti yaatakukuta vipi, unamgegeda mtu, upo nyumba ya ibada, upo kitandani, upo beach unaogelea, upo tu sebuleni unaangalia tv na familia, upo bar unagida kinyaji.. Popote pale.

Dogo wakati wake umemkuta katika ajali ya helikopta yake, lau kama muda wake ungekuwwa bado, angeweza kupona ktk ajali hiyo.

Hivyo ndivyo nijuavyo mimi chief.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,863
2,000
Poleni wana familia, RIP marehemu. Amefanikisha ndoto zake na serikali iendeleze pale alipofika. Kiwanda kiitwe jina lake.
Kutengeza ''helkopta'' yenye uwezo wa kupaa, tena ikiwa na mtu siyo big deal kivile. Kwa teknolojia ya sasa wapo watu wengi sana wenye uwezo huo. Tatizo kubwa liko kwenye usalama wake. Je, ikisharuka itaweza kuhimili misukosuko ya angani?
 
Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
4,979
2,000
Kafa akipigania ndoto yake ambayo kama angefanikiwa lingefanikiwa taifa, atatokea wakuitimiza.,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom