INDIA: Kijana ajipanga kuwashtaki Wazazi wake kwa kumzaa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,556
2,000
INDIA: Kijana wa miaka 27 apanga kuwashtaki Wazazi wake kwa kumzaa bila idhini yake

Raphael Samuel amesema anajua ni vigumu kwa Wazazi kuomba ruhusa kwa Mtoto kabla ya kumzaa lakini akasisitiza kuwa haukua uamuzi wake azaliwe

Anasema hakuna Mtoto aliyekubali kuzaliwa ili aje ateseke na tabu za dunia

Wazazi wa kijana huyo ambao wote ni Wanasheria wamesema wanajisikia fahari kuwa na Mtoto kama yeye lakini wangetamani awaeleze ni namna gani wangewasiliana naye na kumhoji kama yuko tayari kuzaliwa nao

======

A 27-year-old Indian man plans to sue his parents for giving birth to him without his consent.

Mumbai businessman Raphael Samuel told the BBC that it's wrong to bring children into the world because they then have to put up with lifelong suffering.

Mr Samuel, of course, understands that our consent can't be sought before we are born, but insists that "it was not our decision to be born".

So as we didn't ask to be born, we should be paid for the rest of our lives to live, he argues.

A demand like this could cause a rift within any family, but Mr Samuel says he gets along very well with his parents (both of whom are lawyers) and they appear to be dealing with it with a lot of humour.

In a statement, his mother Kavita Karnad Samuel explained her response to "the recent upheaval my son has created".

"I must admire my son's temerity to want to take his parents to court knowing both of us are lawyers. And if Raphael could come up with a rational explanation as to how we could have sought his consent to be born, I will accept my fault," she said.

Mr Samuel's belief is rooted in what's called anti-natalism - a philosophy that argues that life is so full of misery that people should stop procreating immediately.

Image copyright NIHILANAND
This, he says, would gradually phase out humanity from the Earth and that would also be so much better for the planet.

"There's no point to humanity. So many people are suffering. If humanity is extinct, Earth and animals would be happier. They'll certainly be better off. Also no human will then suffer. Human existence is totally pointless."

A year ago, he created a Facebook page, Nihilanand, which features posters that show his images with a huge fake beard, an eye-mask and anti-natalist messages like "Isn't forcing a child into this world and forcing it to have a career, kidnapping, and slavery?" Or, "Your parents had you instead of a toy or a dog, you owe them nothing, you are their entertainment."
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,678
2,000
... hii kesi ina maana kubwa! If the Supreme Court of India rules in his favor na kwa kuwa mojawapo ya madai yake ya msingi ni "hakuna Mtoto aliyekubali kuzaliwa ili aje ateseke na tabu za dunia " maana yake wazazi kabla ya kuzaa wahakikishe wanaandaa mazingira/maisha mazuri ya watoto wao. Kwa mfano, wazazi watarajiwa watashurutishwa kufungua akaunti zenye kiasi fulani cha hela kwa ajili ya mtoto kabla ya kuchukua uamuzi wa kuzaa vingine usizae! Hii dunia imekuwa na mambo ya ajabu sana usishangae aka-win case kiutaniutani.

Of course natambua taabu za dunia ni zaidi ya ukosefu wa kipato kama maradhi, n.k. lakini kama kipato cha uhakika kipo inapunguza baadhi ya machungu mengine.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,557
2,000
Bangi ya India kumbe ni kali sana,,, Inabidi tupate mbegu ya hili zao kutoka huko India, nahisi litatufaa huku Bongo vijana wetu Degree holders waliopo mtaani wakiitumia waanze kushtaki wazazi kwa kuwazaa na kuwasomesha bila ruhusa kwa sabu wamesoma afu wakakosa ajira wapo mtaani tu,...
 
The hitman

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
2,919
2,000
... hii kesi ina maana kubwa! If the Supreme Court of India rules in his favor na kwa kuwa mojawapo ya madai yake ya msingi ni "hakuna Mtoto aliyekubali kuzaliwa ili aje ateseke na tabu za dunia " maana yake wazazi kabla ya kuzaa wahakikishe wanaandaa mazingira/maisha mazuri ya watoto wao. Kwa mfano, wazazi watarajiwa watashurutishwa kufungua akaunti zenye kiasi fulani cha hela kwa ajili ya mtoto kabla ya kuchukua uamuzi wa kuzaa vingine usizae! Hii dunia imekuwa na mambo ya ajabu sana usishangae aka-win case kiutaniutani.

Of course natambua taabu za dunia ni zaidi ya ukosefu wa kipato kama maradhi, n.k. lakini kama kipato cha uhakika kipo inapunguza baadhi ya machungu mengine.
Dogo atashinda hiyo kesi , he has logic
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,678
2,000
Dogo atashinda hiyo kesi , he has logic
... atakuwa ameweka precedence moja ya hatari. Na kwa kuwa India sawa na sisi ni Jumuiya ya Madola basi mahakama ya Tanzania haitakuwa na budi ku-refer maamuzi ya India pale itakapokutana na kesi za aina hiyo.

Wataibuka "wahuni" hapa kudai mahakamani similar issue iwe enforced hapa na hakutakuwa na namna labda Katiba iwe ammended haraka kuzuia hilo maana kwa sasa sio Katiba wala sheria zetu zinazuia mtoto kum-challenge mzazi mahakamani kuhusiana na "ridhaa" ya kuzaliwa au mazazi yake kwa ujumla.
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,528
2,000
Hapo uyo kijana angevifungulia kesi viungo vya uzazi kwa nini vilifanya mambo mpaka akazaliwa
 
Ibney

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
294
250
Wazazi na mtoto wote hawajielewi,
Eti wamefurahi kuwa na dogo mwendawazimu Kama huyo.

Balaa
 
Bugududu Sududu

JF-Expert Member
Apr 19, 2014
449
500
... hii kesi ina maana kubwa! If the Supreme Court of India rules in his favor na kwa kuwa mojawapo ya madai yake ya msingi ni "hakuna Mtoto aliyekubali kuzaliwa ili aje ateseke na tabu za dunia " maana yake wazazi kabla ya kuzaa wahakikishe wanaandaa mazingira/maisha mazuri ya watoto wao. Kwa mfano, wazazi watarajiwa watashurutishwa kufungua akaunti zenye kiasi fulani cha hela kwa ajili ya mtoto kabla ya kuchukua uamuzi wa kuzaa vingine usizae! Hii dunia imekuwa na mambo ya ajabu sana usishangae aka-win case kiutaniutani.

Of course natambua taabu za dunia ni zaidi ya ukosefu wa kipato kama maradhi, n.k. lakini kama kipato cha uhakika kipo inapunguza baadhi ya machungu mengine.
Na ndugu zetu waandzabe(waanzabe) wao wamiliki nin ili kuwa tayari kuzaa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom