#COVID19 India: Idadi ndogo zaidi ya maambukizi tangu Machi yaripotiwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,367
2,000
Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16.

Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka na kupelekea idadi ya waliopoteza maisha kufikia 428,682.
======

India on Tuesday recorded 28,204 Covid infections over the past 24 hours, the lowest since 16 March, according to government data.

The country’s overall case load touched 32 million, the health ministry data showed. Overall deaths increased by 373 overnight, pushing the tally to 428,682.

Source: The Guardian
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom