India: Bunge lapitisha muswada unaowatenga Waislamu kupata uraia wa nchi hiyo

Mkuu nadhani hapa watu wamejikita katika Ukristo na uislamu UPI unampa MTU wa dini nyingine Uhuru wa kuabudu.Hivyo basi katika nchi ambazo majority ni Wakristo.

MTU hakatazwi kuabudu iwe hadharani au nyumbani

Ni ruhusa kujenga msikiti even madrasa,
MTU hauwawi kwa kuwa ni dini nyingine..nk au akibadili dini kuwa mwislam(unlike Muslim countries)

Ila katika Muslim majority countries kuna manyanyaso na uonevu mwingi dhidi ya Wakristo kama ifuatavyo hapo chini;

Ni ngumu kuabudu hadharani(kama ulivyosema),.Iran,Saudi Arabia

Hauruhusiwi kujenga makanisa(Saudi Arabia nk)

Hairuhusiwi kutumia lugha ya nchi husika kuhubiri dini ya kikisto(Iran),

Huruhusiwi kuwahubiria waislamu dini ya kikisto(Iran)

Ukibadili dini kuwa Mkristo unauwawa(apostasy).. Almost all Muslim Majority countries

Wakristo wana chukuliwa kama second class citizens

Sasa kwa hoja hizo hapo juu nani anauvumilivu wa kidini dhidi ya mwenzake

#..Ukibisha links ninazo tena ni reliable

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo manyanyaso ya mahubiri yapo hata Israel! Nenda kawahubirie Yahudi Uikristo uone sheria ya nchi yao itakufanyaje.
 
Muujuza wa kuchambia mawe matatu?
Ma shaa Allah, hakika Uislam haujaacha kitu. Hayo utayapata katika twahara. Unafahamu namna ya kujitoharisha? Soma zaidi...

Mkuu wakati unashangaa au unabisha hilo..jiulize na hili katika nchi nyingi za kiislamu MTU akibadili Dini kwenda kwenye Ukristo anaweza kuuwawa au kufungwa!

# links ninazo plus evidences (ila tu kama utajaribu kubisha)

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hizo nyingi jiulize katika hizo chache mbona zipo tofauti na nyingi.

Huwa sibishani, huwa najadili.
 
Hatutetei bali tunaweka mambo sawa! Kwenye suala la Makkah tumeshamaliza hapo umehamia kwengine sasa!
Haya tupatie ushahidi! Tuwekee kifungu cha katiba ya Saudi Arabia kinachofungamana na madai yako.
Usinipe link zinazohusisha maoni ya watu kama hayo maoni yako!
Madai yangu yalikuwa Saudi Arabia hakuna dini nyingine inayoruhusiwa kwa uwazi zaidi ya Uislamu; vifungu vya Katiba yao hivyo hapo. Una lingine? Halafu hapo hatujazungumzia Sheria na Kanuni zinazo-enforce hivyo vifungu vya Katiba; utashangaa. Kwa mara nyingine nakushauri uache ubishi kwa mambo yaliyo wazi. Dunia ya leo ya utandawazi utaficha nini kisijulikane?

===========

Article 1
The Kingdom of Saudi Arabia is a sovereign Arab Islamic state with Islam as its religion; God's Book and the Sunnah of His Prophet, God's prayers and peace be upon him, are its constitution, Arabic is its language and Riyadh is its capital.

Article 3
The state's flag shall be as follows:
(a) It shall be green.
(b) Its width shall be equal to two-thirds of it's length.
(c) The words "There is but one God and Mohammed is His Prophet" shall be inscribed in the center with a drawn sword under it. The statute shall define the rules pertaining to it.

Article 33 [Armed Forces]
The state establishes and equips the Armed Forces for the defence of the Islamic religion, the Two Holy Places, society, and the citizen.

Article 34 [Military Service]
The defence of the Islamic religion, society, and country is a duty for each citizen. The regime establishes the provisions of military service.
 
Siyo porojo!
Kinachokusumbua ni chuki! Umeliona na Taifa lako teule umeamua kuipotezea hoja kwa kuiita porojo.
Acha chuki mazee!
... nimekuambia na narudia tena - usitake kufananisha uhuru wa kuabudu ulioko Israel na ule wa Saudi Arabia. Israel dini zinaabudu kwa uhuru na uwazi compared to Saudia! Au Al-Aqsa iko wapi? Huu msikiti hauko Jerusalem? Nioneshe kanisa au hekalu la dini yoyote ile popote Saudi Arabia! Ukiambiwa unaleta porojo unang'aka.
 
Yes Wakristo ni wavumilivu wa kiimani.
Kwanini waislamu wenzenu wanakimbilia Western Europe na America na sio nchi za kiarabu au zisizo za kiarabu ila za kiislamu?
.
Gospel = Good news haina siku kwamba ni jumapili tu no!, na TBC yako wanapiga kwaya za kusifu serikali si za Kikristo, Azam na uislamu ni too much
Unaposema wakristo wavumilivu ni yapi wanayoyavumilia hadi uwape sifa ya uvumilivu? Nimekupa mfano mdogo tu wa tamthilia za Azam tv lawama mtindo mmoja wengine hadi hadi kufikia hadi kusema Bakhresa anaajiri waislamu tu hivyo ni wazi wakristo si kwamba wana uvumilivu bali hawapitii majaribu.
 
Madai yangu yalikuwa Saudi Arabia hakuna dini nyingine inayoruhusiwa kwa uwazi zaidi ya Uislamu; vifungu vya Katiba yao hivyo hapo. Una lingine? Halafu hapo hatujazungumzia Sheria na Kanuni zinazo-enforce hivyo vifungu vya Katiba; utashangaa. Kwa mara nyingine nakushauri uache ubishi kwa mambo yaliyo wazi. Dunia ya leo ya utandawazi utaficha nini kisijulikane?

===========

Article 1
The Kingdom of Saudi Arabia is a sovereign Arab Islamic state with Islam as its religion; God's Book and the Sunnah of His Prophet, God's prayers and peace be upon him, are its constitution, Arabic is its language and Riyadh is its capital.

Article 3
The state's flag shall be as follows:
(a) It shall be green.
(b) Its width shall be equal to two-thirds of it's length.
(c) The words "There is but one God and Mohammed is His Prophet" shall be inscribed in the center with a drawn sword under it. The statute shall define the rules pertaining to it.

Article 33 [Armed Forces]
The state establishes and equips the Armed Forces for the defence of the Islamic religion, the Two Holy Places, society, and the citizen.

Article 34 [Military Service]
The defence of the Islamic religion, society, and country is a duty for each citizen. The regime establishes the provisions of military service.
Ulichokisema hapo awali ni hiki:

dudus said:
"... hoja hapa ni ubaguzi; hujaona ubaguzi tena wa wazi kabisa hapo? Sawa Makkah ni mji, unajua hakuna dini nyingine inayoruhusiwa Saudi Arabia zaidi ya Uislamu? Huu nao tuuiteje? Mbona mnajaribu kutetea mambo yaliyo wazi?"

Ukaambiwa uthibitishe, angalia ulichojibu:

Article 1
The Kingdom of Saudi Arabia is a sovereign Arab Islamic state with Islam as its religion; God's Book and the Sunnah of His Prophet, God's prayers and peace be upon him, are its constitution, Arabic is its language and Riyadh is its capital.

Article 3
The state's flag shall be as follows:
(a) It shall be green.
(b) Its width shall be equal to two-thirds of it's length.
(c) The words "There is but one God and Mohammed is His Prophet" shall be inscribed in the center with a drawn sword under it. The statute shall define the rules pertaining to it.

Article 33 [Armed Forces]
The state establishes and equips the Armed Forces for the defence of the Islamic religion, the Two Holy Places, society, and the citizen.

Article 34 [Military Service]
The defence of the Islamic religion, society, and country is a duty for each citizen. The regime establishes the provisions of military service.
Wapi Saudi Arabia wameandika kwenye katiba yao hakuna dini nyengine inayoruhusiwa zaidi ya Uislam?

Jifunze kuelewa siyo unijibu tu.
 
... nimekuambia na narudia tena - usitake kufananisha uhuru wa kuabudu ulioko Israel na ule wa Saudi Arabia. Israel dini zinaabudu kwa uhuru na uwazi compared to Saudia! Au Al-Aqsa iko wapi? Huu msikiti hauko Jerusalem? Nioneshe kanisa au hekalu la dini yoyote ile popote Saudi Arabia! Ukiambiwa unaleta porojo unang'aka.
Kwani idadi ya wakristo huko Saudia ikoje?
 
Ma shaa Allah, hakika Uislam haujaacha kitu. Hayo utayapata katika twahara. Unafahamu namnanyankujitoharisha? Soma zaidi...

Namnanyankujitoharisha? Umeandika manini haya?😟
Kwa hiyo kutawadhia mawe matatu ni miujiza ya koran?
 
Unaposema wakristo wavumilivu ni yapi wanayoyavumilia hadi uwape sifa ya uvumilivu? Nimekupa mfano mdogo tu wa tamthilia za Azam tv lawama mtindo mmoja wengine hadi hadi kufikia hadi kusema Bakhresa anaajiri waislamu tu hivyo ni wazi wakristo si kwamba wana uvumilivu bali hawapitii majaribu.
😟 hao wanaolalamikia habari za Azam tv una hakika ni Wakristo safi?
Wakristo hawapati majaribu, mnavyojazana Ulaya na America na kuanza kuanzisha mautamaduni yenu sio jaribu hilo?
.
Niliweke sawa la Azam tv, kile ni kisimbuzi kisichofungamana na upande wowote yani secular decoder kina uhuru wa kuweka ama kusema chochote inachokitaka ikiwa tu hakivunji sheria za Nchi.
Wana tv za Kikristo nyingi tu pamoja na za Kiislamu, kinachosumbua watu ni kwenye masuala yasiyo ya kidini kwenye tv zisizo za kidini.
.
Kwenye michezo ya VPL watangazaji huanza na salam ya kiislamu ambayo inafahamika yani ni lazima hii si sawa na wakitaka kuweka usawa waseme za dini zote ila wao husema moja tu, hadi Baraka Mpenja Mkristo naye hutumia hiyo salamu kwanini watu wasitoe maoni yao?
.
Kuna kisimbuzi kinaitwa Ting kile kinamilikiwa na Agape ministry wanaonyesha UEFA wale huwezi kusikia wanaanza kwa salamu za kikristo wako neutral.
Kuna radio inaitwa UFM wana kipindi cha michezo cha mda mrefu tu kuna jamaa alipiga sim akaambiwa aiombee dua taifa stars akaanza makiarabu Omary Katanga akawahi na kumkatia simu unajua kwanini?
 
Navyofahamu Wahindi Waislam wote walitakiwa kuhamia Pakistan baada ya Uhuru.. Kihistoria Uislam na Uhindu ulikuwa mgumu Kuvumiliana... Waislam wenyewe ndio waliamua kujitenga na Wahindu ikaamuliwa Nchi igawanwe India iwe ya Wahindu na Other Dini like Christian na Pakistan iwe only for Muslim... So Wahindu watakavyo amua hawana Makosa kwani Aliyetaka kutengwa ni Waislam wenyewe... Wale Wahindi Waislam walikataa kuhama India waliamua wao so hawana Sababu ya Kupinga Maamuzi ya Baniani
 
KWa hiyo ukimuonea mtu huruma ndio unamuua?!
Wapi iko hiyo.?
Wale wauwaji kweli nyinyi hamuwaoni.Marekani iliingia Iraq eti inawahurumia watu wa huko kwa kuteswa na Saddam Hussein .Huruma zao wameuwa mamilioni na kuvunja miji hali kujitia kuijenga kwa malipo ya kuiba mafuta.Hivyo hivyo Afghanistan ,Libya na kila penye waislamu.Kule Myamar wakati waislamu wakiuliwa na kuchomewa moto majumba ndio muda huo huo viongozi wakuu wa Marekani wanapofanya ziara rasmi kutembelea nchi hizo kama kwamba wamefurahishwa na kitendwacho.
Kwa maana hiyo huruma ya kweli iko kwa waislamu.
 
28af0de3-f3d3-4d2b-8871-8e42f1dc3b02.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom