India: Askari Polisi washambuliana kwa risasi wenyewe kwa wenyewe

Mkuu siyo Wairan waliotungua ndege yao ya abiria?Hii ya India huenda ilinipita
Wairan waliitungua ndege yao ya abiria kipindi kile walivyofatua makombora kupiga kambi za Us nchini Iraq.

Ila India walilipua ndege yao ya kijeshi nakumbuka kama sijakosea walivyorushiana makombora na Pakistan.
 
No walitungua ndege yao ya kijeshi wakipigana na Pakistan
 
Wahindi hawajawahi kua serious hata siku moja hapa duniani.

Jamii ya kindezi sana yenye maamuzi ya kipuuzi.
Rejea ile ishu ya jeshi la India kutungua ndege yake yanyewe.
Hiyo ni issue ya kawaida kutokea kwenye nchi yenye kuzungukwa na maadui kama India. Friendly fire imeshatokea kwenye nchi zote zenye akili na jeshi imara unazojua wewe. Kuanzia US, UK, Russia, Germany na wapi inatokea. Mtu anayejua kidogo masuala ya air defense hawezi shangaa hili
 
Wahindi hawajawahi kua serious hata siku moja hapa duniani.

Jamii ya kindezi sana yenye maamuzi ya kipuuzi.
Rejea ile ishu ya jeshi la India kutungua ndege yake yanyewe.
Lakini wahindi ndio wawekezaji wakubwa sana hapa Tz kwenye makampuni, biashara n.k.

Hivyo usitumie mfano mmoja kuwajumuisha wote.
 
Lakini wahindi ndio wawekezaji wakubwa sana hapa Tz kwenye makampuni, biashara n.k.

Hivyo usitumie mfano mmoja kuwajumuisha wote.
Jamaa anashangaza Yani anasema India haijawahi kuwa siliaz wakati nchi ya India ni miongoni mwa nchi ambazo zimeendelea.Watu wanamiliki hadi Silaha za Nyukilia.
 
Back
Top Bottom