Independence of the Judiciary is put to test by Zitto Kabwe's et al constitutional petition

Ni kipengele gani cha katiba ambacho kwa madai yao wanadhani kinawapa uhalali kuwakufanya mikutano ya hadhara. Surely kama lengo ni kuwa nchi ya amani hakuna kipengele kingine ambacho kinaweza kuwa vingine labda kuna issue za misinterpretation of purposes
 
Ni kipengele cha katiba ambacho kwa madai yao wanadhani kinawapa uhalali kuwakufanya mikutano ya hadhara. Surely kama lengo ni kuwa nchi ya amani hakuna kipengele kingine ambacho kinaweza kuwa vingine labda kuna issue za misinterpretation of purposes
Ni kuhusu marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa
 
Kuna aspect kweli za hiyo sheria ambazo sio sahihi na zinaingilia taratibu za kiuendeshaji wa vyama vya siasa huko hakuna anaepinga.

Lakini hili la mikutano ya hadhara walete article ata moja ya wazungu ambayo directly imewahi kukemea Tanzania kuzuia mikutano ya hadhara.

Uwezi kukuta mwandishi wao anatumia hilo neno specifically ban of public rallies (sababu anajua huo ni uchochezi) sanasana atatumia general terms kama ukandamizaji wa demokrasia neno ambalo linamfanya msomaji yeye mwenyewe ajazie.
 
Mkuu kuna Precedent ya kesi ya Indeoendent Candidate..Augustino Ramadhani..alisema swala lq bungeni limalizwe bungeni
 
Kuna aspect kweli za hiyo sheria ambazo sio sahihi na zinaingilia taratibu za kiuendeshaji wa vyama vya siasa huko hakuna anaepinga.

Lakini hili la mikutano ya hadhara walete article ata moja ya wazungu ambayo directly imewahi kukemea Tanzania kuzuia mikutano ya hadhara.

Uwezi kukuta mwandishi wao anatumia hilo neno specifically ban of public rallies (sababu anajua huo ni uchochezi) sanasana atatumia general terms kama ukandamizaji wa demokrasia neno ambalo linamfanya msomaji yeye mwenyewe ajazie.
Mkuu naona unachanganya mambo, aliyekemea mikutano ya hadhara ni Jiwe
 
Kuna aspect kweli za hiyo sheria ambazo sio sahihi na zinaingilia taratibu za kiuendeshaji wa vyama vya siasa huko hakuna anaepinga.

Lakini hili la mikutano ya hadhara walete article ata moja ya wazungu ambayo directly imewahi kukemea Tanzania kuzuia mikutano ya hadhara.

Uwezi kukuta mwandishi wao anatumia hilo neno specifically ban of public rallies (sababu anajua huo ni uchochezi) sanasana atatumia general terms kama ukandamizaji wa demokrasia neno ambalo linamfanya msomaji yeye mwenyewe ajazie.
Why people resort to public rallies? Why should there be public rallies?
 
Vyama vya upinzani ni madikteta hatari mno; ukiachana na viongozi wake kukaa katika nafasi zao kwa muda mrefu lakini bado pia wanataka kila jambo lifanyike wanavyotaka wao.
 
Back
Top Bottom