Incubator za mayai tofauti

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
307
316
Wakubwa wenye kutaka incubator kuanzia mayai 48 mpaka 200
Naweza kukuletea kama unataka kuuza kwa jumla ua reja reja
Mayai 48 kwa dola 300 na mayai 88 kwa dola 420, pia unaweza kutumia kwa bata kanga mimi

NIONE KWA NAMBALI 0718656566
 
wakubwa wenye kutaka incubator kuanzia mayai 48 mpaka 200
naweza kukuletea kama unataka kuuza kwa jumla ua reja reja
mayai 48 kwa dola 300 na mayai 88 kwa dola 420 , pia unaweza kutumia kwa bata kanga mm
Weka contacts zako hapo tuongee biashara
 
hebu weka profile ya kampuni yako hapa..ili tuweze kufuatilia sample na detail ya incubator zako.
 
Mkubwa iyo ya mayai 200 ni sh ngapi Tsh? Zina2mia umeme ama kerosine? Pia zinageuza mayai automatic au manual? Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom