Incubator za mayai tofaiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Incubator za mayai tofaiti

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by mabwana, Mar 23, 2012.

 1. mabwana

  mabwana JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 281
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  wakubwa wenye kutaka incubator kuanzia mayai 48 mpaka 200
  naweza kukuletea kama unataka kuuza kwa jumla ua reja reja
  mayai 48 kwa dola 300 na mayai 88 kwa dola 420 , pia unaweza kutumia kwa bata kanga mm
  NIONE KWA NAMBALI 0718656566
   
 2. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Weka contacts zako hapo tuongee biashara
   
 3. mabwana

  mabwana JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 281
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
 4. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  hebu weka profile ya kampuni yako hapa..ili tuweze kufuatilia sample na detail ya incubator zako.
   
 5. M

  Mtei Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Me na Tsh 300,000 naweza kupata
   
 6. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Mkubwa iyo ya mayai 200 ni sh ngapi Tsh? Zina2mia umeme ama kerosine? Pia zinageuza mayai automatic au manual? Natanguliza shukrani.
   
Loading...