Increments and Promotion Plzzz Dr Magufuli

Oct 13, 2016
19
45
Mh Rais tunakuomba utusaidie vitu hivyo viwili tu huku ukiendelea na maboresho mengine ila ukituuacha hivi tunaumia sasa utumishi wa Umma imekuwa Adhabu ,plzzzz Tuonee huruma sisi binadamu kama binadamu wengine mahitaji yameongezeka tunania ya kulitumikia taifa hili ila sio kwa mtindo huu maana tumevumilia saana .

Ahsante
Mwl Abas
Tandahimba
 

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
1,856
2,000
Mtu aliyeamua kukufanyia umafia ukimwomba haitasaidia..... tafuta njia nyingine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom