Incontrovertible history: Waambie watoto wako..simulia vizazi vijavyo...ccm colonisation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Incontrovertible history: Waambie watoto wako..simulia vizazi vijavyo...ccm colonisation

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Dec 14, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  Colonisation of Portuguese and Arab

  1498 - Portuguese explorer Vasco da Gama visits Tanzanian coast.
  1506 - Portuguese succeed in controlling most of the East African coast.
  1699 - Portuguese ousted from Zanzibar by Omani Arabs.


  Colonisation of German

  1884 - German Colonisation Society begins to acquire territory on the mainland.
  1886 - Britain and Germany sign an agreement allowing the Germans to set in Tanzania
  1905-06 - Indigenous Maji Maji revolt suppressed by German troops.


  Colonisation of British

  1916 - British, Belgian and South African troops occupy most of German East Africa.
  1919 - League of Nations gives Britain a mandate over Tanganyika - today's mainland Tanzania.
  1929 - Tanganyika African Association founded.
  1946 - United Nations converts British mandate over Tanganyika into a trusteeship.
  1954 - Julius Nyerere and Oscar Kambona transform the Tanganyika African Association into the Tanganyika African National Union.


  Total Independence

  1961 - Tanganyika becomes independent with Julius Nyerere as prime minister.
  1962 - Tanganyika becomes a republic with Nyerere as president.


  1963 - Zanzibar becomes independent.
  1964 - Sultanate of Zanzibar overthrown by Afro-Shirazi Party in a violent, left-wing revolution;


  1967 - Nyerere issues the Arusha D., which calls for egalitarianism, socialism and self-reliance.  Colonisation of CCM

  1977 – 2005

  1977 - The Tanganyika African National Union and Zanzibar's Afro-Shirazi Party merge to become the Party of the Revolution, which is proclaimed as the only legal party

  Undated events


  1. IPTL scandal
  2. Kufukia watu migodini
  3. Wizi wa kura za urais (2000,2005,)
  4. Kuleta matabaka, kueneza udini
  5. EPA scandal
  6. Kutorosha Wanyamapori
  7. Kuua reli ya kati ili kuleta malori yao
  8. Scandal za vyombo vya majini (mv bukoba na spice island)
  9. Kuua viwanda vya ndani
  10. Kuua mali ghafi za ndani kwa kuleta vya nje kama kuku
  11. Posho Scandal kwa wabunge wa chama tawala
  12. Kujilimbikizia mali
  13. Kutoboresha huduma za jamii
  14. Richmond scandal..symbioni….
  15. Umeme wa urgent scandals
  16. Kuua watu arusha
  17. Kuua watu mbalimbali
  18. Kutotoa mikopo ya elimu ya juu kwa usawa
  19. Kujilimbikizia mali na kuweka nje ya nchi….vijisenti
  20. Kutowachukulia hatua watuhumiwa wa ufisadi
  21. To kill innocent citizen whom they promised to protect them at any cost
  22. Road construction scandals
  23. Chinese invasion scandals  2005-2014 Colonisation of CCM under the Strong Support of Chadema

  1. xxxxxxxxx
  2. Chadema killed hopes of most Tanzanians to rescue them from CCM's power
  3. Chadema's actions and habits are copy from CCM ( Cut and Paste)
  4. Chadema being silent in EFDs machine
  5.Chadema participates on elections that they know for sure things are not okey, but anyway ''lets participate'' since they earn money, later they come out lamenting and making noise things were not okey, refer my post
  6. Chadema expel/excommunicate people/member who challenge or might have different ideology from their leaders
  7. Chadema in constant conflict within the party and have a little time to think how to help society
  8. Chadema in a big scandal to silent people within the party using billions of money
  9. Chadema do not think/give out the solutions of many problems pertinent to Tanzanians, no single solution ever Recorded that Chadema have suggested to to solve problems
  10. Chadema proudly to participate in Bunge la Katiba of which they know for sure majority will favor CCM
  11. chadema does everything in any how to earn money and popularity for their personal gains
  12. There is no any current/existing member who known to make solid argument for benefit of society
   
 2. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  A very, very good summary.
   
 3. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  what does 'very, very good' mean?

  by the way, Wabs could have put it better than that...
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  Thanks sister!
   
 5. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  For some who knows trig functions and their complements... i smell some double IDs around you! If I use prosthaphaeresis I can tell exactly what is your other ID. Nice game though :)
   
 6. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  thank u it broadens our brain.
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  Thanks,short and clear.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hatuna history kabla ya 1497?
   
 9. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ipo lakini haina "colonisation"
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unataka kuniambia hapakua na african-african colonization kabla ya miaka hiyo???

  hebu niondolee utani
   
 11. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #11
  Dec 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tunaongozwa na vikuvi,vihiyo,vichimbi,Vikulo, nk kila kitu wanachakachua.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  so since 1977 up to now there is no correctio. Good girl
   
 13. H

  HAKI bin AMANI Senior Member

  #13
  Dec 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1963 - Zanzibar becomes independent.
  1964 - Sultanate of Zanzibar overthrown by Afro-Shirazi Party in a violent, left-wing revolution;

  Hiyo ni nini hapo juu. Uhuru toka kwa nani, alitawala kuanzia lini? Ulitakiwa uanzie historia hiyo ndiyo uje 1894, otherwise 1963 and 1964 is meaningless.
   
 14. MANI

  MANI Platinum Member

  #14
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Sasa FF watawala wenyewe ndio hao wanaojitapa wamethubutu na wameweza na wanasonga mbele tufanyeje bila mageuzi ya utawala?
   
 15. M

  Mindi JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuna mchango wa kila mtu unahitajika, hilo halina ubishi. lakini pia watu wenye mandate ya uongozi hasa wa wa taifa, wana mchango mkubwa sana. Sisi wote tunachangia pato la taifa katika matumizi yetu yote tangu asubuhi mpaka jioni. tunachohitaji hao wenye mamlaka ya kukusanya mapato hayo na kuyapanga kwa ajili ya faida yetu sote, wanafanya kazi hiyo kwa uaminifu. kuna mali ambazo ni za taifa, mfano mali asili kama wanyama, madini nk. hivi kama vinatumika kwa faida ya taifa, na kwa maslahi ya taifa, tutapiga hatua mbele haraka. na pia kama tuna sheria, na vyombo vya kuhakikisha sheria zinafuatwa, basi vifanye kazi.

  kama mtu anajua kabisa kwamba hailipi kuingiza gari bovu barabarani, kwamba itakula kwake, hatofanya hivyo. ajali zitapungua. kama mtu anajua kwamba kutupa taka ovyo hailipi, atatunza usafi. kama mtu anajua kwamba kula rushwa hailipi, atafanya kazi yake ya halali kihalali. tukubaliane kwamba sheria zilizopo zikisimamiwa tena kwa maslahi ya taifa, tutakuwa na unafuu mkubwa na tutapiga hatua za maendeleo. haiwezekani kuliambia kundi la watu wafanye kitu fulani kama hakuna taratibu zinazotuwezesha kufanya hicho kitu. kwa hiyo mchango wa viongozi ni mkubwa sana katika kuweka taratibu. kwa upande mwingine, kama kila mfanyakazi anajua fika kwamba viongozi wanakula huko juu, basi wengi watafuata mkumbo na kuchukua chao mapema. na kama viongozi wa ngazi za chini wanawekwa kwa maslahi ya watu wa juu, na sio kwa kutumikia wananchi, utakuwa na kundi la viongozi ambao ni washirika wa kufuja mali na hapo ni vurugu kubwa. kila mtu atakuwa anataka kumzidi mwenzie katika ulaji. Zamani tulizoea kusikia "cheo ni dhamana" siku hizi cheo kinaitwa "ulaji". sio huduma tena kwa wananchi ila ni ulaji kwako binafsi na familia yako na mtandao wako.

  tukitaka kuondoka hapa mabadiliko ya uongozi ni lazima, na kwa mpango huo, hao viongozi waongoze mapambano ya kubadili jamii yetu. kubadili jamii sio kazi kubwa sana. watanzania sio wagumu kufuata sheria. ila kuharibu ni rahisi sana kuliko kujenga
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sema usiopoge sema.....
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Fanyia kazi kwanza hii ya sasa!
   
 18. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280

  you wish...
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Dec 19, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,573
  Likes Received: 3,872
  Trophy Points: 280
  you can say again girl! tukijua historia itatuongezea uzalendo!
   
 20. d

  dada jane JF-Expert Member

  #20
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo dada FF kwa mara ya kwanza nimekupenda bure na umeongea point kwa mifano iliyodhahiri. Pia kuna siku za nyuma kidogo napo uliongeaga point kwenye issue ya uchaguzi mdogo wa igunga nikasema ee yupo mwanamke mwenzetu anatuwakilisha. Ila kuna sku nyingine unakuwaga mcharuko ee hadi unatisha hasa post zinazomhusu Nyerere na kidogo masuala ya udini. Tuachane na hayo ukitilia maanani wengine ni wafu inatusaidia nini sisi tuliohai zaidi tunatakiwa tuangalie nini hatima yetu ya baadae huko ahera? Turudi kwenye mada, umenikuna sn ulipozungumzia hbr ya kusubiria kiongozi atufanyie kila kitu hilo ni kosa kubwa sn nalinatucost watz. Hebu tubadilike tupige siasa kwenye jf then twende kwa vitendo kwenye jamii inayotuzunguka iwe ofisini au popote pale. Tueleze na tufanye kwa vitendo kile tunachoamini. Mi binafsi nimeanza na jamii ndogo inayonizunguka kwa kufundishana elimu ya uraia na kufanya kazi kwa bidii hakika kuna changes kubwa maana kulikuwa na migomo isiyo na tija. Nikiridhika na hii program nitaujulisha umma kwa kupitia media.
   
Loading...