Inawezekekana kumshitaki Rais aliekwishafariki?

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Naomba niulize Kama katiba yetu inaruhusu.

Nimesimuliwa namna mzee wangu alivotiwa umaskini na sera iliyoletwa ya maduka ya Kijiji na matokeo ya mzee akafirisika na kufunga duka.

Wengi walinyanganywa nyumba,mashamba,shule,hospitali, taasisi za din kuvunjwa nk.

Je nikienda mahakamani kudai uhalali wa mambo hayo kisheria na kwa katiba yetu mambo yakoje?

Karibuni.
 
Nimeshangaa Kuna mtu alilipwa hela na kuerjeshewa baadhi ya assets je waliofirisika kwasababu ya sera je wanalipwaje fidia
 
Nimeshangaa Kuna mtu alilipwa hela na kuerjeshewa baadhi ya assets je waliofirisika kwasababu ya sera je wanalipwaje fidia
Andamaneni na mtoe serikal iliyo madarakani. Baada ya apo nendeni mahakamani mtashinda asubuhi mapema, laa sivyo endeleeni kuuguza maumivu au lambeni miguu ya watesi wenu.
 
ile sehemu muhimu ya ubongo na ndogo sana inayoitwa medula oblangata umemkadhi nani? kaichukue modula yako labda akili yako itakaa sawa kidogo
 
Andamaneni na mtoe serikal iliyo madarakani. Baada ya apo nendeni mahakamani mtashinda asubuhi mapema, laa sivyo endeleeni kuuguza maumivu au lambeni miguu ya watesi wenu.
Mkuu umeelewa. Ni kuhusu Injustice waliopitia baadhi ya watu je haiwezi kuwa reviewed
 
Utamshtaki vipi Raisi? Labda umshtaki kwa jina lake kama alifanya kama yeye. Kwa matendo ya Raisi in his official position unaishtaki Serikali.

Natabiri Serikali kupeleka mswaada wa marekebisho ya sheria Bungeni kuzuia mashtaka yaliyotokana na Public Operations
 
funguka ni raisi Yupi aliyekufa unayetaka kumshtaki?
Mkuu jiulize wewe mwenyewe badala yakumuuliza mleta mada,kua nchi hii wamepita marais wangapi,na miongoni mwao nani alishafariki?
Halafu ndiyo uendelee na maswali,samahani kama nimekukwaza.
 
Hapana haujanikwaza.
Kwani wewe unamjua rais aliyekufa.?
Mkuu jiulize wewe mwenyewe badala yakumuuliza mleta mada,kua nchi hii wamepita marais wangapi,na miongoni mwao nani alishafariki?
Halafu ndiyo uendelee na maswali,samahani kama nimekukwaza.
 
Rais hashitakiwi awe hai au mfu ila serikali ndiyo ina shitakiwa hata kama kisa lilifanyika wakati wa rais aliyefariki
 
Back
Top Bottom