Inawezekana wale "wajasiriamali wa kisiasa" waliohama katika mazingira ya kutatanisha ni wanufaika wa hili fungu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Ukichunguza utagundua kuwa ni wajasiliamali hawa wa kisiasa pamoja na yule mratibu mkuu wa biashara ile haramu ndio ama wamebeba au wamebebeshwa msalaba wa kutetea jinsi fungu hili lilivyotumika.

Ninapata mashaka kuona wao ndio wanaonekana kuguswa huku wenyeji katika chama wakijikalia kimya.

Hizi juhudi si bure bali huenda wamenufaika iwapo kweli kuna mchezo mchafu ulifanywa kama watu wanavyohisi.

Iko siku ukweli utajulikana.
 
Mjasiriamali kalamba bilioni 2 za " mabango" hapo Ufipa!
 
Pamoja na kutoka povu jingi sana , David Kafulila ndiye msaliti aliyenunuliwa kwa bei rahisi sana , nashuhuda wanasema alilipwa 3 mil za madafu ! aibu sana !
 
Kama wewe unavyolipwa kupitia fungu la 7 bil!
Piga Ua, Ponda, Pindua, Garagaza, Kamata, Tia ndani, Funga, Teka, Tupa baharini, Fungia, Piga marufuku ...

Fanyeni yooote ila 1.5 trln mtaonyesha ilipokwenda na ndio mwanzo wa chachu ya heshima na adabu nanpengine ndio mwanzo wa mwisho wa safari yenu shubaaaaaamit ...

Kamata mwizi meeeeeen .... !!!!
 
Back
Top Bottom