Inawezekana vipi ukasema haunywi pombe na wakati huo unapakaa mafuta yenye alcohol

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
Nimejaribu kufatilia mafuta mengi ya kupakaa ya losheni ktk ule mchanganyiko wa mafuta huwa huwa wanaandika kwamba wanachanganya na alcohol

Na nikawaza kitu kimoja kimoja huenda kwa mtu ambaye hanywi pombe ila anapakaa mafuta yaliyo changanywa na pombe na yeye huenda akawa ni mlevi ila ulevi wake wao unakuwa upo kiwango cha chini.

Kwa sababu pombe unaweza kulewa kwa harufu je inakuwaje kwa mtu anaye pakaa kabisa.
 
Hata kama mtu angekuwa anajipaka pombe...hawezi kusema anakunywa pombe instead atasema anajipaka pombe. Sasa wewe mkuu kupaka mafuta ni sawasawa na kunywa pombe...??
 
"siledi" zingine bwana!
Kwa hiyo unataka kusema mwanamme ambaye dini yake haimruhusu kula nyama ya ngurugwe akila denda na mwanamke mla nguruwe ndio atakuwa na yeye kala Kitimoto!!!!
 
Bashite tafadhali hebu tupe break,

Yaani umewaza kabisa kwamba ukichukua mzinga wa konyagi ukajimwagia utalewa kama aliyekunywa aisee

Siku hizi ngozi inafanya absorption na assimilation sio
Kama watu wanasema harufu ya petrol inalewesha sembuse pombe?
 
Back
Top Bottom