Inawezekana ubalozi wa Tanzania Oman kuna watu wanahusika na human trafficking?

Nimesona report ya HRW. Yaani staff wa Ubalozi wa Tanzania huko Oman walikuwa "wanawatisha" watanzania wenzao kwamba warudi tu huko kazin na wawe wapole. Kuna mmoja alifungiwa hapo ubalozini kwa miezi 6. Aibu hii.

aisee...hamna umuhimu wa kuwa na ubaloz kwa namna hiyo...
 
Back
Top Bottom