Inawezekana ubalozi wa Tanzania Oman kuna watu wanahusika na human trafficking?

puza46b

Member
Nov 3, 2010
91
261
Najiuliza sipati jibu ni kwanini watu wa ubalozi walikuwa wanawalazimisha wafanyakazi walionyanyaswa warudi kwa watesaji wao.
Je walikula cha juu? Ubalozi kazi yake si kulinda raia wake?
Mwenye jibu please tusaidie..
 
Huwezi tu kukurupuka ukasema sitaki kazi wakati una mkataba wa ajira ambao haujaisha,muajiri amekulipa tiketi n.k
Kama kuna unyanywasaji au jinai yoyote ni vema ikaripotiwa.
Hao haki za binadamu wangetumia nguvu nyingi sana hapa nyumbani kuzuia watu wasiende kuwa mahausi gelo,uarabuni,badala ya kutaka kuugeuza ubalozi wetu kituo cha polisi
 
Ubalozi hauna msaada wote, kwanza balozi nzima ina watu wanne, nusu yao hawakai ubalozini zaidi ya jamaa wa kutoa visa. Ukienda hapo unakuta wadada na mabegi yao wamelala kwenye makochi wakisubiri msaada wa balozi. Tatizo lingine ni hao ma agent, wanatoza hela nyingi na kuwadanganya mabiti juu ya aina ya kazi wanazoenda kufanya. Kwakweli sio wote wenye matatizo, kuna wengine wanaishi vizuri tu na wako uarabuni miaka mingi. Tatizo linakuja pale binti anaambia anakwenda kufanya kazi dukani na akifika anapewa mfagio. Akigoma mwarabu anadai hela yake.
 
USA na ISRAEL Mwaka jana wamewapa ISIS Silaha kwa Mabilioni hii inaonesha nani mwenye kuwaapa silaha kuwapiga waislam. Halafu mnaanza kuwatukana waarabu na waislam. Kama unaamini hao human rights soma na hii hapa. Sio kuleta sinema za chuki kwa watu fulani. mtu mmoja akimtesa mfanyakazi basi inasemwa nchi nzima, waarabu sijui nini
Lakini hata hapa Tanzania hayo mambo yapo kwa mabosi mbona hamsemi. Kuweni waadilifu kuhukumu jambo

Amnesty International Confirms US and Israel Gave ISIS $1 Billion of Weapons in 2016

8 November 2017

Amnesty International has confirmed that the US and Israel Army gave ISIS $1 billion worth of arms and equipment in Iraq, according to a report.

Read more:
‘Biggest ever leak of top secret documents’:Leak of 57 Top Secret Document

The data was obtained by the human rights group following a freedom of information request for a 2016 government audit.“This audit provides a worrying insight into the US Army’s flawed — and potentially dangerous system for controlling millions of dollars’ worth of arms transfers to a hugely volatile region,” Patrick Wilcken, Amnesty’s researcher on international arms control, said in a statement. “It makes for especially sobering reading given the long history of leakage of US arms to multiple armed groups committing atrocities in Iraq, including the armed group calling itself the Islamic State.” In 2015, the US and Israel gave $1.57 billion worth of equipment to Iraq to help them fight ISIS through the Iraq Train and Equip Fund.Now it has been revealed they also funded the enemy, providing them with weapons.The Army’s 1st Theater Sustainment Command “did not have accurate, up-to-date records on the quantity and location of [Iraq Train and Equip Fund] equipment on hand in Kuwait and Iraq,” the Pentagon’s inspector general wrote in the audit, The Hill reports.Tens of thousands of assault rifles, hundreds of mortar rounds and armored Humvees were among the equipment given to ISIS in Iraq, Amnesty said.According to Amnesty, the US army’s lack of control over its weapons was also exposed in a 2015 audit.The 2015 audit prompted Congress to commit to keeping a stricter control of its weapons.
Your Newswire reports: Hawaii Rep. Gabbard went to Syria on a secret fact-finding mission to wade through the lies and propaganda and find out what is really happening on the ground.Immediately on her return CNN booked her for an “exclusive” interview – and Gabbard told them exactly what they didn’t want to hear: she has proof the Obama administration was funding ISIS and Al-Qaeda
 
nini kimekufanya uniite mim mdogo wako?

n.b ukweli usiufanye uadui mim sio mlevi wa imani za wageni na majahazi
Siku zote mtu ambae si muadilifu katika mijadala namuona ni mchanga kwangu aidha kiumri au kifikra. Ungekua na busara ungelibeba hili tatizo kama udhaifu wa kundi fulani na si kuwananga waarabu, wanzanzibar na waislamu kama unavyofanya. Dini yako hiyo iliyoletwa kweny mfuko wa rambo haikufundishi hivyo. Kuwa mwadilifu kweny hukumu ya mambo. Acha chuki
 
Mdogo wangu ; unaandika tu kwa chuki unarusha tu mikuki lkn tambua kwamba sio haki unayoifanya, sio dhambi kuzaliwa mwarabu na sio dhambi kuwa muislam. Kwanini unachuki hivi...why?
Kipi kimeonesha chuki hapo? Kama kweli wenzetu wanatendewa hivyo, sio tu dhambi kuzaliwa mwarabu bali ni laana kubwa kabisa kuzaliwa mwarabu,,,,, sio watu kabisa. Inawezekana ndio sababu kubwa nao wananyanyasika kwingineko.

Nijuavyo, hao wanaojitosa huko ni ndugu wao ktk imani tu vinginevyo awezi kwenda,,, sasa ndugu wa imani anatendewa hayo Vipi aliye kinyume nao? Nachelea tu kusema, hawa ni viumbe vinavyofanana tu na watu kiumbo ila lazima wawe spishi nyingine ya viumbe na labda ni mixer na wale wenzao. Hakuna zuri toka kwao hata moja.
 
USA na ISRAEL Mwaka jana wamewapa ISIS Silaha kwa Mabilioni hii inaonesha nani mwenye kuwaapa silaha kuwapiga waislam. Halafu mnaanza kuwatukana waarabu na waislam. Kama unaamini hao human rights soma na hii hapa. Sio kuleta sinema za chuki kwa watu fulani. mtu mmoja akimtesa mfanyakazi basi inasemwa nchi nzima, waarabu sijui nini
Lakini hata hapa Tanzania hayo mambo yapo kwa mabosi mbona hamsemi. Kuweni waadilifu kuhukumu jambo

Amnesty International Confirms US and Israel Gave ISIS $1 Billion of Weapons in 2016

8 November 2017

Amnesty International has confirmed that the US and Israel Army gave ISIS $1 billion worth of arms and equipment in Iraq, according to a report.

Read more:
‘Biggest ever leak of top secret documents’:Leak of 57 Top Secret Document

The data was obtained by the human rights group following a freedom of information request for a 2016 government audit.“This audit provides a worrying insight into the US Army’s flawed — and potentially dangerous system for controlling millions of dollars’ worth of arms transfers to a hugely volatile region,” Patrick Wilcken, Amnesty’s researcher on international arms control, said in a statement. “It makes for especially sobering reading given the long history of leakage of US arms to multiple armed groups committing atrocities in Iraq, including the armed group calling itself the Islamic State.” In 2015, the US and Israel gave $1.57 billion worth of equipment to Iraq to help them fight ISIS through the Iraq Train and Equip Fund.Now it has been revealed they also funded the enemy, providing them with weapons.The Army’s 1st Theater Sustainment Command “did not have accurate, up-to-date records on the quantity and location of [Iraq Train and Equip Fund] equipment on hand in Kuwait and Iraq,” the Pentagon’s inspector general wrote in the audit, The Hill reports.Tens of thousands of assault rifles, hundreds of mortar rounds and armored Humvees were among the equipment given to ISIS in Iraq, Amnesty said.According to Amnesty, the US army’s lack of control over its weapons was also exposed in a 2015 audit.The 2015 audit prompted Congress to commit to keeping a stricter control of its weapons.
Your Newswire reports: Hawaii Rep. Gabbard went to Syria on a secret fact-finding mission to wade through the lies and propaganda and find out what is really happening on the ground.Immediately on her return CNN booked her for an “exclusive” interview – and Gabbard told them exactly what they didn’t want to hear: she has proof the Obama administration was funding ISIS and Al-Qaeda
Wawape tu haina jinsi, hiki kizazi lazima kipunguzwe. Kuwa controlled. Wana roho mbaya sana hata Shetani haifikii. Kila mwaka wao tu.
 
Back
Top Bottom