Inawezekana tunaongozwa Kifalme kwa mgongo wa Uchaguzi.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Huwa nikipitia nguvu na madaraka ya Rais kwenye Katiba, napata taabu sana kutofautisha na nguvu na madaraka aliyonayo Mfalme.

Yawezekana tukawa tunaongozwa kifalme kwa mgongo wa uchaguzi.

Kwenye utawala wa kifalme, kuna.kanuni kwamba "Alitakalo au alitamkalo mfalme, ndilo linalokuwa" Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Rais kwa katiba tuliyonayo.

Nini maoni yako?
 
Back
Top Bottom