chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,709
Tarehe 14 September 2021 kampuni ya Apple imetambulisha matoleo mapya ya vifaa na toleo jipya la iphone 13 na 13 pro.
Ila nitapenda kueleza kiufupi simu za apple zilizofanya vibaya japo watu wanashindwa kuelewa.
Kampuni hii ilianza kuwa na mauzo makubwa kuanzia iphone 2g mpaka 5s. ila kuna simu moja ilitambulishwa na kuitwa 5C.hii ilipotea kabisa.
Baada ya kutoa 6 mpaka 6s na kupata mauzo makubwa hapa kati walitoa simu aina ya SE. Hii nayo ilipotea kabisa.
Baada ya kutoa 7 mpaka X na kupata mauzo makubwa hapa kati wakatoa XR.hii nayo kama ilipotea sijui kwa sababu hipi.
Hapa tunakuja kujiuliza toleo la iphone 11 bado lipo sokoni ikatambulishwa baada ya mda mfupi iphone 12 kumbuka zote zipo kwenye mauzo tena juu.
Hii iphone 13 mabadiliko yake yanaweza kupelekea ipotee na watu kutokuwa na habari nayo