ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,894
Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii.
1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi unasababisha kesi ya Mbowe kuonekana kuwa ngumu, kwani tunavojua utu na msimamo wa Kiongozi wetu ni against na Mambo yanayofanyika katika kesi hiyo. Hivyo parallel state is behind this.
2. Kutokana na hotuba tunazozisikia za kiongozi wetu, nyingi hazitoi majibu hapo kwa papo kama ilivyokuwa wakati wa viongozi wa zamani, kauli nyingi sasa zimekuwa tunachukua, tutaangalia, tutafanyia kazi. Hii inamaana kuna maamuzi zaidi yanaenda kufanyika, yaani mpaka ipelekwe parallel state wakaamue.
3. Waziri Makamba kutamka wazi wazi kuwa wakati ananitafuta MD wa TANESCO ilimuwiwa vigumu na alitumia nguvu nyingi. Sasa ina maana utaratibu wa vetting na wa kiserikali wa kawaida ulikiukwa Sasa waziri ameenda mtaani kuchagua Kiongozi na anapeleka jina kwa raisi, hii Ina maana ni nguvu nje ya mifumo iliyopo.
Kwahiyo pole pole alikuwa anajua anachokiongea, na hata ukinzani anaoupata ni kwasababu tu kaongea ukweli