Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,092
Kipindi kile cha kombe la mbuzi Kigwangala alikuwa ndio kiungo mchezeshaji wa timu Membe huku Bashe akisimama kama central defender wa timu T2015 ENL. Naona ligi yao bado haijaisha
Tena anabeba kale kafimbo na kuvaa suti za kijamaa.Siku hizi anajifanya naye mwl Nyerere
Chizi kweli mkuuTena anabeba kale kafimbo na kuvaa suti za kijamaa.
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?
Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.
Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.
kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?
Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali
Nitajie jambo moja tu alilofanikisha please

Acha awanyooshe Miungu watu.Kigwa ni kiboko ndio mid filder hio ya JPM ktk first eleven
Safari hii mchizi kapewa rungu katikati ya soko,hili jamaa nacholipendea huwa lina Confidence saaana na kama kuna kitu kinaenda tofauti lenyewe linaikabili bila ya kujali kitu wala kuogopa mtu ama kwa cheo chake au fedha zake,,
Atakaaje kimya wakati anajua kabila Baba yake ni mchafu? Lazima ajitekenye. Hata hivyo awamu hii ni ya Miungu watu kukiona cha moto.Huyo Fred Lowassa angekaa kimya lingekuwa ni jibu tosha kwa Kigwa. Level za Kigwa ni kina kaoge na jamii yake ambao pia aliwashindwa.
Acha awanyooshe Miungu watu.
Maneno yako tu yanaonesha wewe ndo PUMBAVU kabisa.Ukimuangalia vizuri sura yake Kingwangwalah, huchelewi kugundua kwamba ni binadamu MPUMBAVU.
We mzungu unasemaje?waswahili bana
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?
Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.
Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.
kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?
Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali
dr mwaka kasharudisha huduma tena sasa yuko ubungo plaza full vijembe kwa kina kingwaKigwangala nimjuaye mimi anawaweza akina Dr Mwaka tu basi tena kwa mbinde sana