Inawezekana ni mwanzo wa Fredrick Lowassa kuingia kwenye siasa, kosa la kiufundi aliloanza nalo ni hili...

Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?

Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.

Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.

kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?

Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali

Mkuu nahisi wanahusika na tuhuma hiyo, rohoni kwa mtu ni mbali, asingetoa povu kiasi hicho, mbona wengine kimya?
 
Nitajie jambo moja tu alilofanikisha please

Kwenye komenti yako hapo juu umesema anawaweza kina Mwaka.

Cha kushangaza unataka akutajie mafanikio walati umeishataja.

Hujui kuwa neno KUWEZA ni mafanikio?

Kama anaweza kuwashughurikia kina Mwaka, hayo ni mafanikio.
 
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?

Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.

Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.

kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?

Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali

Siukalale kama huna logic?
 
Kigwa ni kiboko ndio mid filder hio ya JPM ktk first eleven
Safari hii mchizi kapewa rungu katikati ya soko,hili jamaa nacholipendea huwa lina Confidence saaana na kama kuna kitu kinaenda tofauti lenyewe linaikabili bila ya kujali kitu wala kuogopa mtu ama kwa cheo chake au fedha zake,,
 
Kizazi cha ufisadi tusikiruhusu kijizae tena, kabla hatujasahau Machungu ambayo baba yake amelisababishia taifa hili, huyu mtoto anaibuka tena? Tusikubali
 
Kigwa ni kiboko ndio mid filder hio ya JPM ktk first eleven
Safari hii mchizi kapewa rungu katikati ya soko,hili jamaa nacholipendea huwa lina Confidence saaana na kama kuna kitu kinaenda tofauti lenyewe linaikabili bila ya kujali kitu wala kuogopa mtu ama kwa cheo chake au fedha zake,,
Acha awanyooshe Miungu watu.
 
Huyo Fred Lowassa angekaa kimya lingekuwa ni jibu tosha kwa Kigwa. Level za Kigwa ni kina kaoge na jamii yake ambao pia aliwashindwa.
Atakaaje kimya wakati anajua kabila Baba yake ni mchafu? Lazima ajitekenye. Hata hivyo awamu hii ni ya Miungu watu kukiona cha moto.
 
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?

Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.

Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.

kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?

Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali

Kwanza tujiulize ni kweli viwanja vilivamiwa?Kama ndiyo kwanini Serikali ndiyo iliytoa vibali vya watu kujenga?Je,Kigwangalla anajua katika mikoa isiyo na ardhi ya kutosha mmoja wapo ni Arusha?Je,Kabla hajaanza kutaja watu majina alienda kuhakiki Halmsahuri na Ardhi Arusha kama hao watu walipata maeneo kihalali.

Nimemsikia akiongelea kuhusu Ardhi Moshi,na kuitaja kwamba ndiyo iliyoipa NCAA ardhi Arusha,sielewi kama Kigwangalla anajua kwamba Moshi ipo Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha-Njiro iko Mkoa wa Arusha sidhani kama issue za Arusha zilikuwa solved KIlimanjaro.

Kabla hujamlaumu Freddie Lowassa hebu tumuulize huyo Mbarikiwa sana Mteuliwa wa Mtukufu Rais wa Malaika kama hayo anayajua na kayafanyia kazi kabla hajaanza kupora haki za watu.

Ninavyojua NJIRO ni prime area kwa Arusha watu wengi waliokuwa wanabomolewa nyumba zao kwenye Barabara kuu Moshi-Arusha walipewa viwanja huko including walala hoi.

Kigwangalla hakutakiwa kupayuka kwanza angeanza na kufanya utafiti wa kwanini serikali iliyokuwa madarakani kwa wakati huo iligawa hivyo viwanja.Wakati mwingine sifa zikizidi zinaua
 
Back
Top Bottom