Inawezekana ni mwanzo wa Fredrick Lowassa kuingia kwenye siasa, kosa la kiufundi aliloanza nalo ni hili...

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?

Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.

Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.

kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi.
Kwenye audio hii, Kigwangalla ametaja Mawaziri Wakuu wawili wastaafu, hajamtaja Lowassa. Tunao mawaziri wakuu wastaafu akina Sinde Waryoba, Cleopa Msuya, Mizengo Minda, Salim Mohamed Salim, Frefrick Sumaye. Kwanini familia ya Lowassa ndiyo idhani inalengwa yenyewe?

Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali
 
Kigwangalla ni jembe, ana act kutegemeana na adui anayeshambulia. Watanyooka tu , kwa muda mrefu sana nchi hii kuna watu walifikiri hawakamatiki
Usikute wewe ndio Kigwa mwenyewe, unajianzishia uzi kisha kuanza kujisifia. Kwa ufupi Kigwa hana hekima wala busara, ni mtu wa kutaka sifa sana, ndio maana maamuzi mengi hakuna hata moja alilofanikiwa. Ni mjinga tu
 
Aliwahi kumnyoosha nani...
Zaidi ya kujegeuza na kufanya kazi ya mlinzi wa geti la Muhimbili enzi za unaibu waziri wa Afya....
 
Usikute wewe ndio Kigwa mwenyewe, unajianzishia uzi kisha kuanza kujisifia. Kwa ufupi Kigwa hana hekima wala busara, ni mtu wa kutaka sifa sana, ndio maana maamuzi mengi hakuna hata moja alilofanikiwa. Ni mjinga tu
Bingwa wa kujamba na kuwasha feni fasta.
 
Ni kumuingiza Mbunge wa Nzega, HUSSEIN BASHE. Katika Sakata lililoibuliwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla la uooraji ardhi Plot 4091 Njiro Arusha. Mahusiano ya Bashe na Kigwangalla yanamhusu nini? Anataka Bashe afanye nini kwenye Tuhuma dhidi ya baba yake? Anataka Waziri Kigwangalla achukulieje kauli hiyo? Au sisi tujue kuwa Baba yake hakupora ardhi yeru na badala yake ni visasi? Na kama Alioora ardhi, mahusiano kati ya Kigwangalla na Rafiki wa Familia ya Lowassa ndiyo kiwe kichaka cha kujificha?

Hakuna asiyejua ukaribu uliokuwepo na pengine ambao bado upo kati ya Hussein Bashe na Lowassa kama siyo familia nzima ya Lowassa.

Kumtaja Bashe, Utetezi wote wa Fredrick kuhusu tuhuma za Baba yake kupora ardhi ya Wananchi unakosa nguvu kabisaa.

kama ni mwanzo wake kumridhi baba yake kwenye medani za kisiasa, tayari ameanza na kosa kubwa la kiufundi

Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali
Inaonekana huwajui watu wanaotamani siasa!
 
Kama familia ya Lowasa inamiliki ardhi hiyo kihalali sijui kama kuna sababu ya kuwa defensive anyhow! Legitimacy of ownership will be proved by presentation of correct records.
 
Huyo Fred Lowassa angekaa kimya lingekuwa ni jibu tosha kwa Kigwa. Level za Kigwa ni kina kaoge na jamii yake ambao pia aliwashindwa.
 
Back
Top Bottom